Spika wa Bunge Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF

Na MWANDISHI WETU,

Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), baada ya kuhitimisha Bunge Jijini Dodoma, tarehe 28 Juni, 2024.

Mazungumzo hayo yalihusu utaratibu wa ulipaji mafao ambao NSSF imeendelea kuuboresha kupitia mifumo ya TEHAMA. Aidha, Bw. Mshomba ameelezea maandalizi ya ulipaji mafao kwa kuzingatia maboresho ya kanuni ya kikokotoo, na ameipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kujali maslahi ya watanzania.

Pamoja na hayo, Bw. Mshomba alitumia fursa hiyo kumpongeza Mhe. Dkt. Tulia Ackson kwa kuhitimisha Bunge la Bajeti kwa mafanikio makubwa.

WhatsApp Image 2024-06-28 at 22.12.18.jpeg
WhatsApp Image 2024-06-28 at 22.12.19.jpeg
 
Zee lina pesa mpaka zinaonekana yaan..!!😞😞
 
SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF

Na MWANDISHI WETU,

Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), baada ya kuhitimisha Bunge Jijini Dodoma, tarehe 28 Juni, 2024.

Mazungumzo hayo yalihusu utaratibu wa ulipaji mafao ambao NSSF imeendelea kuuboresha kupitia mifumo ya TEHAMA. Aidha, Bw. Mshomba ameelezea maandalizi ya ulipaji mafao kwa kuzingatia maboresho ya kanuni ya kikokotoo, na ameipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kujali maslahi ya watanzania.

Pamoja na hayo, Bw. Mshomba alitumia fursa hiyo kumpongeza Mhe. Dkt. Tulia Ackson kwa kuhitimisha Bunge la Bajeti kwa mafanikio makubwa.
Sijaelewa kukutana kwao kunawasaidia nini wananchi, hata kutangazwe?
 
Kwa hiyo Wastaaafu tunaanza kulipwa ang'ho.
 
Siku za karibuni kumekuwa na msukumo na nguvu kubwa imetumika kuangalia upya kikokotoo ila hakuna anayezungumzia fao la kujitoa, huu ni usaliti mkubwa sana kwa wafanyakazi wa sekta binafsi
 
Wapunguze muda wa kulipa fao la kukosa ajira.unafuatilia miezi miwili kweli?yaani mpaka unachukia.fomu unakaa nazo mwezi mmoja.ili iweje?
 
Tunaenda kutafuta hela za Kampeni Kwa niaba ya Mama

2025 loading .....
 
Back
Top Bottom