Spika wa Bunge Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF

Wale wale mediocrity ambao hawawezi kututoa hapa tulipokwama

Ukimuuliza masteplan ya nssf 50 years to come hana majibu
 
Siku za karibuni kumekuwa na msukumo na nguvu kubwa imetumika kuangalia upya kikokotoo ila hakuna anayezungumzia fao la kujitoa, huu ni usaliti mkubwa sana kwa wafanyakazi wa sekta binafsi
Hili FAO la kujitoa limekuwa kilio cha wengi aisee, serikali yetu hii ya wachumia tumbo haina nia ya dhati kabisa na watu wake.
 
Labda anataka mkopo MAANA ndo hivyo
 
SPika wa Bunge ni mtendaji wa Serikali?
 
Ukute ni mumewe.

Hebu mwambieni huyo madame aongeze mwili kidogo kule kwetu hatupo hivyo.
Nahisi uko sana nje ya Mada, hii inahusiana vipi na Mada? nyie ndio wale waandishi wa Habri wanakutana na Raisi badala wamuulize maswali magumu wanaanza kumwambia Mh umependeza sana. Wabongo tuna safari ndefu sana Mungu tusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…