Spika wa Bunge apewe Uwaziri Mkuu

Kama Magu ni WA kulaumiwa ktk hili iweje Betina awe PROMOTED Badala ya kuwa DEMOTED.

Ndugu tumieni akili zenu vizuri kufikiri. Msikariri kama Nyumbu๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ 
Jiwe ndo aliingiza hayo manyumbu bungeni..ndo mana kila anayenyanyuka ni kusifu mana kila mmoja anawaza uteuzi , ujinga kabisa..hakuna hoja kinzani , speaker Naye ni msemaji wa serikali
 
Jiwe ndo aliingiza hayo manyumbu bungeni..ndo mana kila anayenyanyuka ni kusifu mana kila mmoja anawaza uteuzi , ujinga kabisa..hakuna hoja kinzani , speaker Naye ni msemaji wa serikali
Tupambanie KATIBA mpya itutoe ktk mkwamo huu.

Kumshusha jiwe Ili kumpandisha aliepo, PROPAGANDA hiyo imeshafeli.

Kwa Maana hata kiongozi mkuu wa Serikali aliepo aliteuliwa na Magu huyo huyo.

Tuwe wakweli Ili tuisaidie Nchi.

Vyama vinapita na kuja vingine bt TANZANIA yetu IPO miaka mingi ijayo. Amen
 
Jiwe ndo aliingiza hayo manyumbu bungeni..ndo mana kila anayenyanyuka ni kusifu mana kila mmoja anawaza uteuzi , ujinga kabisa..hakuna hoja kinzani , speaker Naye ni msemaji wa serikali
Kama tatizo ni waliomo mjengoni hawana uwezo, aliepo anayo mamlaka kuchagua nje ya Bunge kupata mawaziri wazuri.

Pia ana mamlaka kulitumia ofisi ya msajili kurudia uchaguzi ktk baadhi ya majimbo na akapata awatakao.

Kiongozi yeyote asitafute visingizio. Wafanye KAZI. Amen
 
Huwa nashanga sana yani kila kitu lazima umtaje Mh.Rais? sijui ni njaa au ni kuji...
 
Mfano wa Kenya ndio mnaweza kuelewa vilaza kama nyie, ukipewa wa South Africa au US utatoka mtupu kabisa.
 
Mgeni unaanza kutukana kaka zako,embu tulia alafu rudia kusoma mtoa mada ametoa mifano nchi mbili ndani ya EAC,Pili kinachofanyika ni ukweli mshabiki kawa mchambuzi unategemea nini?
->Fafanua majukumu matano ya bunge alafu tulinganishe na uhalisia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ