Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Jiwe ndo aliingiza hayo manyumbu bungeni..ndo mana kila anayenyanyuka ni kusifu mana kila mmoja anawaza uteuzi , ujinga kabisa..hakuna hoja kinzani , speaker Naye ni msemaji wa serikaliKama Magu ni WA kulaumiwa ktk hili iweje Betina awe PROMOTED Badala ya kuwa DEMOTED.
Ndugu tumieni akili zenu vizuri kufikiri. Msikariri kama Nyumbu😠😠😠ðŸ˜