ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Napata wasiwasi kama hili ni Kwa ajili ya wananchi au lipo Kwa ajili ya mafisadi
Leo bunge la Ulaya litaketi kujadili mauaji ya halaiki TANZANIA ila Bunge letu lipo kimya wanakula posho
1. Spika wa bunge huoni ni hatari taasisi kubwa za kimataifa kuifungia nchi misaada na mikopo.
Kwanini usiitishe bunge la dharula kujadili hii hatari, uchumi wetu mdogo, mtaendeshaje nchi
2. Spika wa bunge upo kimya Watanzania zaidi ya 10,000 wakipoteza maisha
Nyie ni wawakilishi wetu au wahuni tu
3 Spika wa bunge huoni usalama wa nchi yetu ukiwa hatarini.
Rais alisema waliingia magaidi, wahaini. Hili halitoshi kuwa jambo la dharula kuitisha wawakilishi wetu kujadili
4. Rais kushitakiwa ICC sio jambo la kushtua
Huoni sababu ya kuitisha bunge la dharula kujadili sababu za kushitakiwa kwake? Na ikiwa ni za msingi kupiga kura za kutokuwa na Imani nae na kumtoa kwenye Urais ili amalizane na hayo mashtaka kwanza
5. Musa Zungu huoni sababu za kutosha kujadili habari za kusambaa Kwa kasi Kwa pesa bandia
6 Spika wa bunge huoni sababu ya kujadili mchakato mbovu wa uchaguzi na madhara yake
6. Spika wa bunge huoni umuhimu wa kujadili upatikanaji wa katiba mpya Kwa uharaka na udharula ili tujitoe kwenye mifumo
7. Spika wa bunge huoni sababu ya kujadili Kwa udharula tuhuma za vyombo vya dola kuuwa wanachi