Spika wa bunge kugeuka mpiga debe wa Wachina ni aibu kubwa

Ndugai ni malaya ndio maana hajui hata idadi ya watoto wake, linajifanya lina akili na busara kumbe jinga kubwa
 
Haya mambo hayawezi kumalizwa ndani ya chama chenu mkatoka na msimamo mmoja??
 
Tulikuwa tunawacheka wakina Chifu Mangungo wakisaini mikataba na wakoloni. Kumbe wakina "Mangungo" wa siku hizo hawa. Aibu kubwa sana, huyu hafai kwa manufaa ya Taifa. Ni wa kutumbua, jipu hilo limeshaiva
 
Dodoma viongozi wake toka zamani hawako vizuri sana kwenye utawala na hii inachangiwa na mtindio wa ubongo kwa sababu ya lishe, Dodoma Ina ukame na chakula cha shida kwa watu wa vijijini hivyo kupelekea watoto wengi kutokuwa na akili nzuri ,hayo makuzi ndo akina ndugai wamekumbana nayo, hivyo hali ya ukosefu wa chakula Imedidimiza sana ubongo na ndo maana mwalimu nyerere aliliona hilo na kupelekea kujenga hospital ya vichaa Dodoma. Pia hali ya kiafya ya ndugai inamufanya asitumiye akili yake. Amekaa India miezi mingi kubadilisha damu , afya yake inamupelekea kutoa hoja ambazo mtoto mdogo mwenye lishe nzuri anamushangaa Sana.
 
Hahaha
 
Naam.

Tangu mwaka 2018 pale spika Ndugai alipolipiwa kila kitu na wachina kwenda kuonyeshwa presentation ya namna bandari ya Bagamoyo itakavyokuwa ikijengwa ,basi amegeuka mpiga debe wao!

Ndugai akiulizwa kwani bandari zilizopo zina kasoro gani hadi upigie debe wachina kiasi hiki? Ndugai hana jibu ila yeye anachotaka bandari ijengwa.

Ndugai akiulizwa atoe mifano ya nchi zilizofanyiwa uwekezaji wa namna hiyo na wachina alafu zikafanikiwa hataji , akiambiwa mbona Srilanka ,Mombasa, Zambia wanalia kwa uwekezaji na namna hii?? Ndugai hana jibu ila anachotaka ni bandari tu ijengwe.!

Ndugai akiulizwa ,alikuwa wapi toka mwaka 2018 alipobaini rais Magufuli amedanganywa kutoa ukweli wote hadharani bungeni ? Alikuwa anaogopa nini wakati spika hawezi kutumbuliwa na rais? Ndugai hana jibu ila anachotaka tu wachina wapewe Bagamoyo!

Ndugai akiulizwa huo mkataba unaousema ni mzuri uko wapi uweke hadharani ili kila mtanzania ajiridhishe na matunda yatakayopatikana baada ya wachina kuwekeza Trilioni 23?
Ndugai hana jibu!

Kiukweli ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu kama mtu anaweza kufikia ngazi ya spika wa bunge alafu akashabikia na kuwa mpiga debe kwa faida ya nchi nyingine.
Kweli kabisa
 
Nyiie mnaopinga Wachina mbona mkiulizwa mna mbadala gani hamtoi? Au mnafurahia Meli kuishia kule Baharini na kupakua mwezi mzima???
Ni bora wapakue miez miwil mel moja kuliko wajenge bandar halaf wasilipie kit chochote
kwa miaka 33 halaf baada ya miaka hyo wakisema wamepata hasara itatakiwa waongezewe miaka mingne 33.Pia kipind cha mkataba nchi hairuhusiw kuendeleza wa kuboresha miundo mbinu kwa bandar ya dar,tanga wala mtwara.
Tukiwakubalia wachina tutaonekana mambulula zaid kuliko wa sri lanka.
 
Naam.

Tangu mwaka 2018 pale spika Ndugai alipolipiwa kila kitu na wachina kwenda kuonyeshwa presentation ya namna bandari ya Bagamoyo itakavyokuwa ikijengwa ,basi amegeuka mpiga debe wao!

Ndugai akiulizwa kwani bandari zilizopo zina kasoro gani hadi upigie debe wachina kiasi hiki? Ndugai hana jibu ila yeye anachotaka bandari ijengwa.

Ndugai akiulizwa atoe mifano ya nchi zilizofanyiwa uwekezaji wa namna hiyo na wachina alafu zikafanikiwa hataji , akiambiwa mbona Srilanka ,Mombasa, Zambia wanalia kwa uwekezaji na namna hii?? Ndugai hana jibu ila anachotaka ni bandari tu ijengwe.!

Ndugai akiulizwa ,alikuwa wapi toka mwaka 2018 alipobaini rais Magufuli amedanganywa kutoa ukweli wote hadharani bungeni ? Alikuwa anaogopa nini wakati spika hawezi kutumbuliwa na rais? Ndugai hana jibu ila anachotaka tu wachina wapewe Bagamoyo!

Ndugai akiulizwa huo mkataba unaousema ni mzuri uko wapi uweke hadharani ili kila mtanzania ajiridhishe na matunda yatakayopatikana baada ya wachina kuwekeza Trilioni 23?
Ndugai hana jibu!

Kiukweli ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu kama mtu anaweza kufikia ngazi ya spika wa bunge alafu akashabikia na kuwa mpiga debe kwa faida ya nchi nyingine.
If i am going to be honest with this.in my own humble opinion without being sentimental of course, without offending anyone who thinks differently from my own point of view,but also by looking into this matter in distinctive perspective ,i would like to say i have nothing to say🤦‍♂️
 
Naam.

Tangu mwaka 2018 pale spika Ndugai alipolipiwa kila kitu na wachina kwenda kuonyeshwa presentation ya namna bandari ya Bagamoyo itakavyokuwa ikijengwa ,basi amegeuka mpiga debe wao!

Ndugai akiulizwa kwani bandari zilizopo zina kasoro gani hadi upigie debe wachina kiasi hiki? Ndugai hana jibu ila yeye anachotaka bandari ijengwa.

Ndugai akiulizwa atoe mifano ya nchi zilizofanyiwa uwekezaji wa namna hiyo na wachina alafu zikafanikiwa hataji , akiambiwa mbona Srilanka ,Mombasa, Zambia wanalia kwa uwekezaji na namna hii?? Ndugai hana jibu ila anachotaka ni bandari tu ijengwe.!

Ndugai akiulizwa ,alikuwa wapi toka mwaka 2018 alipobaini rais Magufuli amedanganywa kutoa ukweli wote hadharani bungeni ? Alikuwa anaogopa nini wakati spika hawezi kutumbuliwa na rais? Ndugai hana jibu ila anachotaka tu wachina wapewe Bagamoyo!

Ndugai akiulizwa huo mkataba unaousema ni mzuri uko wapi uweke hadharani ili kila mtanzania ajiridhishe na matunda yatakayopatikana baada ya wachina kuwekeza Trilioni 23?
Ndugai hana jibu!

Kiukweli ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu kama mtu anaweza kufikia ngazi ya spika wa bunge alafu akashabikia na kuwa mpiga debe kwa faida ya nchi nyingine.
Usichokijua ndugai ana mambo haya na ndo nakujuza
1. Analitoto lake mlenda mlenda hv linasomea MD huko uchina na linaishi maisha ya kishua sana huku likipewa ulinzi huko na inasemekana kuwa miongoni mwa sababu za kuhimiza huo utopolo ni way ya kumsaidia mwanae apate michongo huko huko uchina. Watu wana akili sana
2. Ndugai pia kama hujamjua ni binadamu dhaifu sana asiye na uwezo wa kujenga hoja na hapo sijaelewa ilikuwaje kuwaje hadi akawa spika wa bunge. Ndugai huwa ni mtu wa kwenda na upepo hanaga hoja hata kidogo.
3. Ndugai ni mpigaji sana na bahati mbaya kawa spika kipindi jiwe hataki masihara na mikataba ya kidwanzi na sasa anajiona ndo muda wake wa ulaji maana anahisi mama hana kwere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh
 
Aliteketeza mabilioni yetu mengi sana kwenye matibabu yake hewa kule Apollo hospital,
 
Back
Top Bottom