Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwani unadhani haogopwi? 😀 Hao wamarekani si wamvamie kwake basi kama hawampendi na hawamuogopi?Urusi aliachwa sana akaanza waingilia wenzie mazima aliamin anaogopwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani unadhani haogopwi? 😀 Hao wamarekani si wamvamie kwake basi kama hawampendi na hawamuogopi?Urusi aliachwa sana akaanza waingilia wenzie mazima aliamin anaogopwa
Obama alipambania sana OBAMA CARE..akafail...gharama za matibabu ziko juu sana...ndo maana Obama alikuja na hiyo programme...Homelesness pia ..Kwa nini kama wanahela za kuchezea hivyo wasilipie wananchi wao huduma za afya bure pamoja na kuwawezesha wote kuwa na nyumba....My point is...US ni super capitalists.....Watu kwenye hii vita wanatengeneza faida ya kutosha....NA KUNA WAMAREKANIN wanakula nyasi..wamechoka mbaya..Wamarekani hawawezi kula nyasi kamwe, pamoja na hizo pesa zote huko Ukraine bado wanatoa misaada kumjengea bibi yako vyoo, barabara n.k na mikopo, sio Tanzania tu bali duniani kote.
Afghanistan walitumia $ Trillion 2.3 kwa miaka 20 sawa na $million 300 kila siku.
Usihofu kuhusu pesa, wewe sikitikia tu maisha yanayopotea kwa sababu ya homicidal dictator wa Russia.
Obama alipambania sana OBAMA CARE..akafail...gharama za matibabu ziko juu sana...ndo maana Obama alikuja na hiyo programme...Homelesness pia ..Kwa nini kama wanahela za kuchezea hivyo wasilipie wananchi wao huduma za afya bure pamoja na kuwawezesha wote kuwa na nyumba....My point is...US ni super capitalists.....Watu kwenye hii vita wanatengeneza faida ya kutosha....NA KUNA WAMAREKANIN wanakula nyasi..wamechoka mbaya..
Wale wakimaliza watajenga miji yao kwa kasi na kuwa mizuri zaidi na watapambana kufukia ma gape yote kwa kipindi kifupi wanaujua uongozi vizuri.Sasa hili deni linalipwaje? Daah teh teh