Wamarekani hawawezi kula nyasi kamwe, pamoja na hizo pesa zote huko Ukraine bado wanatoa misaada kumjengea bibi yako vyoo, barabara n.k na mikopo, sio Tanzania tu bali duniani kote.
Afghanistan walitumia $ Trillion 2.3 kwa miaka 20 sawa na $million 300 kila siku.
Usihofu kuhusu pesa, wewe sikitikia tu maisha yanayopotea kwa sababu ya homicidal dictator wa Russia.