Spika wa Bunge la Marekani atua Ukraine na aapa US kuisaidia Ukraine mpaka vita itakapoisha

5525

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
5,412
Reaction score
6,279

Pelosi.jpg

Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done'​

Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done'Close

The speaker of the US House of Representatives, Nancy Pelosi, has met the Ukrainian president, Volodymyr Zelensky, in Kyiv.
Ms Pelosi said Ukraine was fighting for everyone's freedom and US support would continue "until the fight is done."
Ms Pelosi was in Kyiv with a delegation of US lawmakers.
The visit came days after President Biden asked Congress to approve $33bn in aid for Ukraine.
 
Wamarekani wakorofi sana,
Juzi katibu mkuu UN Kavurumishiwa mabomu Akiwa hapo,leo wanapeleka Spika wao.

Ni kama vile wanamwambia Russia piga mabomu yako akiwepo spika wetu uone😂😂😂,

Hii vita Marekani Waliisubiri Sana,Na wanaifurahia sana,
Russia amewatibulia mipango yao Mingi Mno
Mfano Syria,Afghanistan na kwengineko,Pasi kusahau alipoingilia Uchaguzi wao a.k.a Russia meddling,this Time atawajua Us ni dude gani..
 
Ni kama vile wanamwambia Russia piga mabomu yako akiwepo spika wetu uone[emoji23][emoji23][emoji23],

Hii vita Marekani Waliisubiri Sana,Na wanaifurahia sana,
Russia amewatibulia mipango yao Mingi Mno
Mfano Syria,Afghanistan na kwengineko,Pasi kusahau alipoingilia Uchaguzi wao a.k.a Russia meddling,this Time atawajua Us ni dude gani..
Una mashairi mazuri.ulisha wai kufikiria kuimba taarabu ?
 
wa Marekani huwa haingiii mzima mzima kwny vita mwanzoni…anasuburi mmeshachoshana

sasa hivi America anafaidika na vita vya Russia na Ukraine kwa kuwa vita hiyo imewadhoofisha sana Marafiki zake wa Kinafiki Ufaransa na German ambao ni wategemezi wakubwa wa Russia kwny Gas, mbolea na bidhaa muhimu kama ngano

sarafu ya Euro inaporomoka kwa kasi ukilinganisha na pound na Dola

sasa hivi Makampuni ya US yameanza kujisogeza Ulaya 'kuwasaidia 'kuwaletea malighafi hizo toka Mataifa mengine ambayo Makampuni ya Ujerumani hayana Mikataba nayo hivyo hayawezi kufanya biashara

Marekani anatumia only 5% ya Gas toka Russia hivyo haumii kwa lolote…sasa hivi Mataifa rafiki yanayopakana na Russia ambayo ni Rafiki na US yanaingia mikataba ya kuuziwa Silaha kwa haraka haraka hivyo biashara inazidi kuchanganya

Marekani haipendi kabisa Umoja wa Ulaya (EU) na ndio sababu mara kadhaa anatumia Uingereza kuidhoofisha kwa kuwashawishi wasitumie sarafu moja, isitumike policy moja ya masoko na Ajira n.k

wanasiasa wakubwa wa Ujerumani wameanza kustuka na kumshambulia Kansela wao kuingia kichwa kichwa kwny hili gogoro
 
Sidhan kam wanasiasa wakubwa wamestuka manake naona kama kwanza wanamlaum Chansela kwamba hafanyi vya kutosha na ndio maana hata bunge la german limepiga kura ya pamoja kwamba serikal yao ipeleke silaha nzito nzito na si hiZo za kujilinda tuu, pia wameanza mlaumu chancela wao wa zaman Geho.. kwamba kwa nn anaunga mkono mambo ya putin awekewe vikwazo
 
wa Marekani huwa haingiii mzima mzima kwny vita mwanzoni…anasuburi mmeshachoshana

sasa hivi America anafaidika na vita vya Russia na Ukraine kwa kuwa vita hiyo imewadhoofisha sana Marafiki zake wa Kinafiki Ufaransa na German ambao ni wategemezi wakubwa wa Russia kwny Gas, mbolea na bidhaa muhimu kama ngano

sarafu ya Euro inaporomoka kwa kasi ukilinganisha na pound na Dola

sasa hivi Makampuni ya US yameanza kujisogeza Ulaya 'kuwasaidia 'kuwaletea malighafi hizo toka Mataifa mengine ambayo Makampuni ya Ujerumani hayana Mikataba nayo hivyo hayawezi kufanya biashara

Marekani anatumia only 5% ya Gas toka Russia hivyo haumii kwa lolote…sasa hivi Mataifa rafiki yanayopakana na Russia ambayo ni Rafiki na US yanaingia mikataba ya kuuziwa Silaha kwa haraka haraka hivyo biashara inazidi kuchanganya

Marekani haipendi kabisa Umoja wa Ulaya (EU) na ndio sababu mara kadhaa anatumia Uingereza kuidhoofisha kwa kuwashawishi wasitumie sarafu moja, isitumike policy moja ya masoko na Ajira n.k

wanasiasa wakubwa wa Ujerumani wameanza kustuka na kumshambulia Kansela wao kuingia kichwa kichwa kwny hili gogoro
Usiangalie uchumi wa marekani na ulaya kwa sasaivi upe muda kidogo labda miezi 4 hivi hadi 7, then uje kwa Russia baada ya muda huo huo utagundua kitu., kuna mambo yalitokea na hayajapata mahali pake pa kudumu kama hii ya gesi na mafuta, mambo yakikaa sawa ndio utaja kujua lengo la Marekani hasa lilikuwa ni lipi sasaiv bado ni mapema sana
 
... viongozi wakitembelea Kyiv anga lote linakuwa under full control; vyombo vya warusi vinaona maruweruwe; hata direction ya Kyiv vinaipoteza.
Kuna taarifa moja ilionesha askari wa marekani walioko poland wanaangalia mwenendo wote wa vita inayoendelea ndani ya ukraine. Hapa ngoja tuone nani bingwa wa propaganda na hujuma maana beberu ameamua ku battle na Russia. Howtzer pieces inashushwa huko , maana yake vikosi vya Russia vitaanza kupigwa ni mizinga ya marekani, under this section super power ataonekana japo mmoja ameshatishia kunya
 
Wamarekani wakorofi sana,
Juzi katibu mkuu UN Kavurumishiwa mabomu Akiwa hapo,leo wanapeleka Spika wao.

Ni kama vile wanamwambia Russia piga mabomu yako akiwepo spika wetu uone😂😂😂,

Hii vita Marekani Waliisubiri Sana,Na wanaifurahia sana,
Russia amewatibulia mipango yao Mingi Mno
Mfano Syria,Afghanistan na kwengineko,Pasi kusahau alipoingilia Uchaguzi wao a.k.a Russia meddling,this Time atawajua Us ni dude gani..
Ukweli upo hivyo na itabaki hivyo Russia kakojoa ukweni anaomba pasikuche😂😂
 
Wakati anazunguka zunguka hapo kyv ningependa Putin atupe kama missile 2 hivi za nguvu kumaliza hiki kiherere cha kutembelea uwanja wa vita.
Kama wewe unatamani namna hii huyu spika apunguze kiherehere, bila shaka putin anataman afe kabisa, sasa tujiulize, yeye ambae ni amiri jeshi mkuu, ana uwezo wa kuamuru jambo, kwanini asiamuru asitupe hizo missiles?
 
Back
Top Bottom