Una mashairi mazuri.ulisha wai kufikiria kuimba taarabu ?Wamarekani wakorofi sana,
Juzi katibu mkuu UN Kavurumishiwa mabomu Akiwa hapo,leo wanapeleka Spika wao.
Ni kama vile wanamwambia Russia piga mabomu yako akiwepo spika wetu uone[emoji23][emoji23][emoji23],
Hii vita Marekani Waliisubiri Sana,Na wanaifurahia sana,
Russia amewatibulia mipango yao Mingi Mno
Mfano Syria,Afghanistan na kwengineko,Pasi kusahau alipoingilia Uchaguzi wao a.k.a Russia meddling,this Time atawajua Us ni dude gani..
Umelelewa wapi wewe jamaa, kejeli za nini Sasa hurafu ukute ni mtu mzima anaejitambuaUna mashairi mazuri.ulisha wai kufikiria kuimba taarabu ?
hurafu-harafuUmelelewa wapi wewe jamaa, kejeli za nini Sasa hurafu ukute ni mtu mzima anaejitambua
Kejeli zako sio poa kuna watu wanaopenda kusoma maoni mazuri yenye staha hata kama hukubaliani nayo.hurafu-harafu
Una wahi wapi wewe mtu mzima unae jitambua
wa Marekani huwa haingiii mzima mzima kwny vita mwanzoni…anasuburi mmeshachoshana
sasa hivi America anafaidika na vita vya Russia na Ukraine kwa kuwa vita hiyo imewadhoofisha sana Marafiki zake wa Kinafiki Ufaransa na German ambao ni wategemezi wakubwa wa Russia kwny Gas, mbolea na bidhaa muhimu kama ngano
sarafu ya Euro inaporomoka kwa kasi ukilinganisha na pound na Dola
sasa hivi Makampuni ya US yameanza kujisogeza Ulaya 'kuwasaidia 'kuwaletea malighafi hizo toka Mataifa mengine ambayo Makampuni ya Ujerumani hayana Mikataba nayo hivyo hayawezi kufanya biashara
Marekani anatumia only 5% ya Gas toka Russia hivyo haumii kwa lolote…sasa hivi Mataifa rafiki yanayopakana na Russia ambayo ni Rafiki na US yanaingia mikataba ya kuuziwa Silaha kwa haraka haraka hivyo biashara inazidi kuchanganya
Marekani haipendi kabisa Umoja wa Ulaya (EU) na ndio sababu mara kadhaa anatumia Uingereza kuidhoofisha kwa kuwashawishi wasitumie sarafu moja, isitumike policy moja ya masoko na Ajira n.k
wanasiasa wakubwa wa Ujerumani wameanza kustuka na kumshambulia Kansela wao kuingia kichwa kichwa kwny hili gogoro
Hawez kuwa mtu mzima, ni kijana tu alonunuliwa infnix au tecno kisha akaijua JF.Umelelewa wapi wewe jamaa, kejeli za nini Sasa hurafu ukute ni mtu mzima anaejitambua
Usiangalie uchumi wa marekani na ulaya kwa sasaivi upe muda kidogo labda miezi 4 hivi hadi 7, then uje kwa Russia baada ya muda huo huo utagundua kitu., kuna mambo yalitokea na hayajapata mahali pake pa kudumu kama hii ya gesi na mafuta, mambo yakikaa sawa ndio utaja kujua lengo la Marekani hasa lilikuwa ni lipi sasaiv bado ni mapema sanawa Marekani huwa haingiii mzima mzima kwny vita mwanzoni…anasuburi mmeshachoshana
sasa hivi America anafaidika na vita vya Russia na Ukraine kwa kuwa vita hiyo imewadhoofisha sana Marafiki zake wa Kinafiki Ufaransa na German ambao ni wategemezi wakubwa wa Russia kwny Gas, mbolea na bidhaa muhimu kama ngano
sarafu ya Euro inaporomoka kwa kasi ukilinganisha na pound na Dola
sasa hivi Makampuni ya US yameanza kujisogeza Ulaya 'kuwasaidia 'kuwaletea malighafi hizo toka Mataifa mengine ambayo Makampuni ya Ujerumani hayana Mikataba nayo hivyo hayawezi kufanya biashara
Marekani anatumia only 5% ya Gas toka Russia hivyo haumii kwa lolote…sasa hivi Mataifa rafiki yanayopakana na Russia ambayo ni Rafiki na US yanaingia mikataba ya kuuziwa Silaha kwa haraka haraka hivyo biashara inazidi kuchanganya
Marekani haipendi kabisa Umoja wa Ulaya (EU) na ndio sababu mara kadhaa anatumia Uingereza kuidhoofisha kwa kuwashawishi wasitumie sarafu moja, isitumike policy moja ya masoko na Ajira n.k
wanasiasa wakubwa wa Ujerumani wameanza kustuka na kumshambulia Kansela wao kuingia kichwa kichwa kwny hili gogoro
Na hilo ndilo analotafuta Marekani,wanataka Russia arushe hata jiwe tuu then aone cha moto.Wakati anazunguka zunguka hapo kyv ningependa Putin atupe kama missile 2 hivi za nguvu kumaliza hiki kiherere cha kutembelea uwanja wa vita.
... viongozi wakitembelea Kyiv anga lote linakuwa under full control; vyombo vya warusi vinaona maruweruwe; hata direction ya Kyiv vinaipoteza.Na hilo ndilo analotafuta Marekani,wanataka Russia arushe hata jiwe tuu then aone cha moto.
Kuna taarifa moja ilionesha askari wa marekani walioko poland wanaangalia mwenendo wote wa vita inayoendelea ndani ya ukraine. Hapa ngoja tuone nani bingwa wa propaganda na hujuma maana beberu ameamua ku battle na Russia. Howtzer pieces inashushwa huko , maana yake vikosi vya Russia vitaanza kupigwa ni mizinga ya marekani, under this section super power ataonekana japo mmoja ameshatishia kunya... viongozi wakitembelea Kyiv anga lote linakuwa under full control; vyombo vya warusi vinaona maruweruwe; hata direction ya Kyiv vinaipoteza.
Ukweli upo hivyo na itabaki hivyo Russia kakojoa ukweni anaomba pasikuche😂😂Wamarekani wakorofi sana,
Juzi katibu mkuu UN Kavurumishiwa mabomu Akiwa hapo,leo wanapeleka Spika wao.
Ni kama vile wanamwambia Russia piga mabomu yako akiwepo spika wetu uone😂😂😂,
Hii vita Marekani Waliisubiri Sana,Na wanaifurahia sana,
Russia amewatibulia mipango yao Mingi Mno
Mfano Syria,Afghanistan na kwengineko,Pasi kusahau alipoingilia Uchaguzi wao a.k.a Russia meddling,this Time atawajua Us ni dude gani..
Uzeeni utakuwa mchawi[emoji12][emoji12]Una mashairi mazuri.ulisha wai kufikiria kuimba taarabu ?
Kama wewe unatamani namna hii huyu spika apunguze kiherehere, bila shaka putin anataman afe kabisa, sasa tujiulize, yeye ambae ni amiri jeshi mkuu, ana uwezo wa kuamuru jambo, kwanini asiamuru asitupe hizo missiles?Wakati anazunguka zunguka hapo kyv ningependa Putin atupe kama missile 2 hivi za nguvu kumaliza hiki kiherere cha kutembelea uwanja wa vita.