Spika wa Bunge la Marekani awasili Taiwan kwa ndege ya Kijeshi, Urusi yadai ni uchochezi

Spika wa Bunge la Marekani awasili Taiwan kwa ndege ya Kijeshi, Urusi yadai ni uchochezi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Licha ya vitisho kutoka kwa China, Spika wa Bunge la Marekani, Nancy Pelosi amewasili katika Kisiwa cha Taiwan.

Amewasili kwa kutumia ndege ya Jeshi ambayo ilitokea Malaysia alipokuwa katika ziara kisha kutumia njia ndefu ili kuikwepa bahari ya Kusini ya China.

Aidha, Urusi imeshutumu ziara hiyo kuiita kama sehemu ya uchochezi. Msemaji wa Ikulu ya Urusi, Kremlin Dmitry Peskov amesema ziara inaongeza mvutano baina ya China na Taiwan.

China inaichukulia Taiwan kama sehemu ya himaya yake, na imekuwa ikitoa onyo mara kwa mara kwamba inaitafsiri ziara ya Pelosi katika kisiwa hicho kama uchochezi wa Marekani.

==========

US House Speaker Nancy Pelosi lands in Taiwan amid threats of Chinese retaliation

US House Speaker Nancy Pelosi landed in Taipei on Tuesday, marking a significant show of support for Taiwan despite China's threats of retaliation over the visit.

Pelosi's stop in Taipei is the first time that a US House speaker has visited Taiwan in 25 years. Her trip comes at a low point in US-China relations and despite warnings from the Biden administration against a stop in Taiwan.

Pelosi and the congressional delegation that accompanied her said in a statement on Tuesday that the visit "honors America's unwavering commitment to supporting Taiwan's vibrant democracy."

"Our discussions with Taiwan leadership will focus on reaffirming our support for our partner and on promoting our shared interests, including advancing a free and open Indo-Pacific region," the statement said. "America's solidarity with the 23 million people of Taiwan is more important today than ever, as the world faces a choice between autocracy and democracy."

China responded by announcing military exercises and with bellicose rhetoric warning that the speaker's visit "has a severe impact on the political foundation of China-U.S. relations, and seriously infringes upon China's sovereignty and territorial integrity."

"It gravely undermines peace and stability across the Taiwan Strait, and sends a seriously wrong signal to the separatist forces for 'Taiwan independence,' " China's Ministry of Foreign Affairs said in a statement. "China firmly opposes and sternly condemns this, and has made serious démarche and strong protest to the United States."

China's military said it was on "high alert" and would conduct exercises around Taiwan in response to Pelosi's trip, saying in statements it was launching a series "targeted military operations to counteract the situation."

Taiwan's Ministry of National Defense said that 21 Chinese warplanes made incursions into its air defense identification zone (ADIZ) on Tuesday. In response, the Taiwanese military issued radio warnings and deployed air defense missile systems to monitor the activities, it added.

China frequently sends warplanes into Taiwan's self-declared ADIZ. The highest number of incursions ever recorded was on October 4 last year, when 56 military planes flew into the area on the same day. An ADIZ is unilaterally imposed and distinct from sovereign airspace, which is defined under international law as extending 12 nautical miles from a territory's shoreline.

Source: CNN
 
Shujaa Nancy Pelosi ndo kaingia Taiwan sasa huyo Mchina na dada yake Urusi watafanya nini?

China alisema akikanyaga tu Taiwan anauwasha moto lakini story imebadilika tena kwamba akiondoka ndo China itaanza mazoezi ya kijeshi.

Kichekesho cha karne ya 21 hiki. Yaani mkubwa aondoke kwanza ndo mazoezi yafanyike. [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Moto huwashwa mipaka yako inapokuwa mashakani!!! Nani awashe mto kisa ajuza mmoja ametua hapo zanzibar na eti kwakuwa zanzibar mna mgogoro naye basi muwashe moto
 
Sasa hivi mmebadili nyimbo sio,yale machumachuma aliyokuwa anayaonyesha yalikuwa kwa ajili ya nini?
Aibu naona Mimi. Yaani China asipo mdetain Pelosi sijui team China wataweka wapi sura zao. Kule Ukraine nako,Ukraine imekamata Wanajeshi 300 wa Urusi Jimbo la Kherson. Train ya Urusi iliyobeba vifaa vya kijeshi imesambaratishwa. Kwa Hasira Urusi amevurumisha Makombora kwenye makazi ya Raia.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya jeshi la Marekani na Urusi, Marekani siku zote katika operesheni zake anaangalia sana raia wasio na hatia, na hii inapelekeaga kuchelewa sana kwa operesheni zake.
Lakini Mrusi hajali chochote, Hao wanajeshi wake anawatreat kama mizoga tu, hawana thamani!
Angalia walivyouawa kama Panya buku!!! Mpaka majenerali wanauawa, "shame on Putin"!!! Unamuuaje Jenerali kwenye Vita!???
 
Ngoja tushangilie tu ila wakiyaanzisha bei ya petroli nafikiri itakimbilia Lita moja kwa 10,000🤣
 
Aibu naona Mimi. Yaani China asipo mdetain Pelosi sijui team China wataweka wapi sura zao. Kule Ukraine nako,Ukraine imekamata Wanajeshi 300 wa Urusi Jimbo la Kherson. Train ya Urusi iliyobeba vifaa vya kijeshi imesambaratishwa. Kwa Hasira Urusi amevurumisha Makombora kwenye makazi ya Raia.
Samahani hii ya kutekwa wanajeshi 300 na kuteketezwa kwa Train ni lini hii. Kwangu ni mpya kidogo.

Nijuze SHANGAZI (Bila shaka ni ke) yangu
 
Shujaa Nancy Pelosi ndo kaingia Taiwan sasa huyo Mchina na dada yake Urusi watafanya nini?

China alisema akikanyaga tu Taiwan anauwasha moto lakini story imebadilika tena kwamba akiondoka ndo China itaanza mazoezi ya kijeshi.

Kichekesho cha karne ya 21 hiki. Yaani mkubwa aondoke kwanza ndo mazoezi yafanyike. [emoji38][emoji38][emoji38]
Kwa sasa wanamlinda kwanza bibi hadi aondoke ndo waanze mazoezi yao kama ya Kiduku yasiyo na mbele wala nyuma
 
Shujaa Nancy Pelosi ndo kaingia Taiwan sasa huyo Mchina na dada yake Urusi watafanya nini?

China alisema akikanyaga tu Taiwan anauwasha moto lakini story imebadilika tena kwamba akiondoka ndo China itaanza mazoezi ya kijeshi.

Kichekesho cha karne ya 21 hiki. Yaani mkubwa aondoke kwanza ndo mazoezi yafanyike. [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaongea hivyo huku Ugali bado wanautaka
Mikwara kibao hakuna matendo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na mtoa hoja hii mbona umeandika uongo, angalia kichwa chako cha Habari, eti ameingia na ndege ya kijeshi !huu ni uongo US speaker hajatumia ndege ya jeshi na elewa hata US president Ile Air force one,inatumia code hii yeye Rais Anapokua yumo ndani ya ndege, akishashuka code hii inakoma, China ni hasira walizokua nazo binafsi dhidi ya speaker maana alisimama kidete dhidi ya mauaji ya China kwa waandamanaji wa 🇭🇰
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya jeshi la Marekani na Urusi, Marekani siku zote katika operesheni zake anaangalia sana raia wasio na hatia, na hii inapelekeaga kuchelewa sana kwa operesheni zake.
Lakini Mrusi hajali chochote, Hao wanajeshi wake anawatreat kama mizoga tu, hawana thamani!
Angalia walivyouawa kama Panya buku!!! Mpaka majenerali wanauawa, "shame on Putin"!!! Unamuuaje Jenerali kwenye Vita!???
Cheo cha Jenerali kwa mfumo w jeshi la Urusi ni cheo cja kawaida sana. Ni cheo kidogo kama unavyoiona MP kwa huku kwetu.
 
Moto huwashwa mipaka yako inapokuwa mashakani!!! Nani awashe mto kisa ajuza mmoja ametua hapo zanzibar na eti kwakuwa zanzibar mna mgogoro naye basi muwashe moto
Mmeshachenji gia angani😃😃😃
 
Cheo cha Jenerali kwa mfumo w jeshi la Urusi ni cheo cja kawaida sana. Ni cheo kidogo kama unavyoiona MP kwa huku kwetu.
Weka upumbafu wako pembeni kijana, unajua unapitia ngazi ngapi kijeshi mpaka kufikia ugeneral? Pia MP sio cheo bali ni Military Police
Go back to your gabache and try to learn how to slice them
 
Back
Top Bottom