Spika wa Bunge la Marekani: Biden hafai hata kupewa muda uliobakia

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Spika wa bunge la Marekani anasema watapiga kura kumuondoa Rais mgonjwa kwa mujibu wa katiba baada ya chama chake kumuona ni mgonjwa inamaanisha kuwa hata kumalizia muda sio sahihi


Mwanadamu haridhiki kabisa walimtaka asigombee amalizie ingwe yake na amekubali sasa hawataki hata kumalizia miezi iliyobakia ,wanasema aondoke

Spika wa bunge la Marekani amesema kuwa Biden hafai hata kupewa muda kwa kuwa akili yake haipo sawa kuongoza katika kipindi cha miezi iliyobaki na bunge litapiga kura kumuondoa kwa kuwa katiba inaruhusu rais mwenye akili timamu kuongoza

USSR

b
 
Biden, aliwashutumu mno Barack Obama, Hilary na Nancy Pelosi baada ya kufeli kwa uchaguzi wa 2016, japo yeye alijitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Urais kupitia Democratic na kumuachia Hilary.
Mambo si mambo upande wa Democrats
 
Wanataka kutumia “amendment 25”😀

Ila haitafanya kazi. Hata barua yake ya kujiondoa kwenye ugombea, alisema ni kwa maslahi ya chama chake na Taifa. Kwamba anataka kishinde.

Hiyo haina maana kwamba yeye binafsi hawezi kuongoza.

Naona Republicans wamesha panic
 
Biden, aliwashutumu mno Barack Obama, Hilary na Nancy Pelosi baada ya kufeli kwa uchaguzi wa 2016, japo yeye alijitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Urais kupitia Democratic na kumuachia Hilary.
Mambo si mambo upande wa Democrats
Obama aliamuwa kwenda na Clinton kwenye ile uchaguzi.
 

Chama cha waliberali. Wao kila kitu ruksa. Kimekuwa chama cha mashoga. Hawawezi kushinda ingawa simpendi kabisa Trump.
They have reduced their party to merely a party which doesnt have identity. Sina matumaini kabisa na hawa wajamaa wasiokuwa wanaeleweka
 
Mh!! Article 25?? Au una maanisha 25th Amendment iliyokuwa ratified 1967?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…