Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Baada ya hapo tukaanza kuuza misitu,Airport & Bandari.Tanzania unaambiwa tu, toka! unatoka mwenyewe. Muulize Ndugai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya hapo tukaanza kuuza misitu,Airport & Bandari.Tanzania unaambiwa tu, toka! unatoka mwenyewe. Muulize Ndugai.
Wewe hushangai kuna baa nyingi jirani na vituo vya polisi na mahakama.USA, ni taifa kubwa, kiuchumi, kijeshi,ki tekinolojia, maadili ya kazi, ni watu wanaojari maadili ya kazi, kufata sheria zilizopo,
Kama umewahi kufanya kazi na wazungu(not Chinese), utagundua tofauti Yao na Sisi,
Bongo haiendelehi, watu kwenye maeneo Yao yq kazi, ni wezi, wavivu,wabadhirifu Sana, matumizi mabaya ya muda wa serikali,
Pale, Ofisi, za Duwasa Dodoma, kuna ka mgahawa nje,baadhi ya staff, wakienda kunywa chai, watabaki huko wakipiga story za mpira umbea, MTU chai tu anakaa saaa nzima, wanakuwa wanachungulia, kama boss kaingia, wakiona bado, wanaendelea kupiga swaga tu!
Waiting is painful. Forgetting is painful. But not knowing which to do is the worst kind of suffering.SO KEEP WAITING!What we are witnessing in USA is the beginning of the fall of an Empire.
Tanzania unaambiwa tu, toka! unatoka mwenyewe. Muulize Ndugai.
Ref;yaliyomtokea jobuNyoo tz ipi? Kwa bunge lipi?
Hata unachokisoma hukielewi. Pole sana.Nyoo tz ipi? Kwa bunge lipi?
Wewe bado hujajiuza?Baada ya hapo tukaanza kuuza misitu,Airport & Bandari.
Unaishi nchi gani wewe?View attachment 2771147
Just in: Spika wa Bunge la Marekani amengo'lewa madarakani na kuweka historia kuwa spika wa kwanza wa bunge la marekani kung'olewa na wabunge.
Moja ya chanzo cha Kevin McCarthy kuondolewa kwenye uspika ni baadhi ya wabunge wenzake wa Republic kumuona kama msaliti baada ya kushirikiana na Serikali ya Biden na chama cha Democratic kupitisha bajeti ya kuendesha serikali iliyokuw0a na mkanganyiko hasa katika suala la matumizi makubwa ya fedha za walipakodi wa Marekani kwenye Vita ya Ukraine.
Tanzania inawezekana ?
Zaidi soma....
Members of the US House of Representatives removed Speaker Kevin McCarthy from power in a historic vote Tuesday.
McCarthy's ouster represents the first time in the history of the United States that a speaker — the leader of the House majority and second in line from the presidency behind the vice-president — has been removed from office.
McCarthy said he will not run again for speaker. Meanwhile, US President Joe Biden urged the House to choose a replacement quickly.
"Because the urgent challenges facing our nation will not wait, he hopes the House will quickly elect a speaker," White House Press Secretary Karine
Jean-Pierre said in a statement.
Representative Patrick McHenry of North Carolina was tapped as speaker pro tempore after McCarthy's seat was vacated. McHenry, the chair of the House Financial Services Committee, is a McCarthy ally and spoke in support of him before the vote.
The top Republican in the House of Representatives has been voted out of his position, thanks to a motion filed by a rebel within his own party.
Kevin McCarthy made history yet again, becoming the first speaker ever voted out of office.
McCarthy's ouster represents the first time in the history of the United States that a speaker — the leader of the House majority and second in line from the presidency behind the vice-president — has been removed from office.
McCarthy said he will not run again for speaker. Meanwhile, US President Joe Biden urged the House to choose a replacement quickly.
"Because the urgent challenges facing our nation will not wait, he hopes the House will quickly elect a speaker," White House Press Secretary Karine Jean-Pierre said in a statement.
Representative Patrick McHenry of North Carolina was tapped as speaker pro tempore after McCarthy's seat was vacated. McHenry, the chair of the House Financial Services Committee, is a McCarthy ally and spoke in support of him before the vote.
How was McCarthy voted out?
The motion to vacate the California Republican was filed by fellow GOP Representative Matt Gaetz of Florida.
Trump ally Matt Gaetz spoke to the media after the historic development
On Monday, Gaetz announced in the House: "I have enough Republicans where at this point next week, one of two things will happen: Kevin McCarthy won't be speaker of the House, or he'll be the speaker of the House working at the pleasure of the Democrats."
In the end, he didn't need that long. Tuesday's 216-210 for removal swiftly saw McCarthy gone after a motion to delay the vote failed just prior.
McCarthy's reputation as a comparatively moderate Republican, who has in some cases shown a willingness to compromise with President Joe Biden, ultimately led to his downfall among conservatives.
Compromise on budget and shutdown prompted attempted removal
Earlier on Tuesday, McCarthy announced that he intended to conduct the ballot in the chamber's first round of votes in the afternoon.
The move came just days after the passing of a 45-day, stop-gap funding bill to avoid a government shutdown.
Gaetz was angered that McCarthy passed the measure with Democratic votes and accused him of working for President Biden, and not his Republican colleagues.
He was also miffed that McCarthy had come to an agreement with Biden over further funding for Ukraine despite such finances being struck from the emergency 45-day bill known as a Continuing Resolution, or CR.
Many Republicans opposed to the idea of ousting McCarthy, as there was no clear plan in place for how to deal with the eventuality of his removal. That was the motivation for their last-minute motion to table the vote and cancel the process.
Yet that, too, failed by a 208-218 tally, with 11 Republicans voting against delay.
Source DW
Nataka nikununue wewe ingawa ushazeeka sana.Wewe bado hujajiuza?
Unasema umeshauza kila kitu, wewe umeshajiuza? Kama bado unangoja nini? Au hauna soko tena?Nataka nikununue wewe ingawa ushazeeka sana.
Nikununue weweUnasema umeshauza kila kitu, wewe umeshajiuza? Kama bado unangoja nini? Au hauna soko tena?
Maadili yakuajiri mashoga nawasagaji us na rc hawana maadili ni wapuuzi uchumi wa us wa kudanganya msaada kidogo tu kwa us wanaanza kutaftanaUSA, ni taifa kubwa, kiuchumi, kijeshi,ki tekinolojia, maadili ya kazi, ni watu wanaojari maadili ya kazi, kufata sheria zilizopo,