Spika wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy ang'olewa madarakani

Wewe hushangai kuna baa nyingi jirani na vituo vya polisi na mahakama.
 
What we are witnessing in USA is the beginning of the fall of an Empire.
Waiting is painful. Forgetting is painful. But not knowing which to do is the worst kind of suffering.SO KEEP WAITING!
 
Mataifa ya Magharibi yenye nguvu yanaishiwa silaha za kuisaidia Ukraine ili kupamba na uvamizi wa Urusi Uingereza na Nato zimeonya.
Afisa mkuu wa Nato Adm rob Bauer aliliambia baraza la usalama Warsaw kwamba silaha zimekuwa kidogo.

Alisema sasa serikali na watengenezaji wa silaha wanarazimika kuongeza uzalishaji kwa kiwango cha juu zaidi, Ukraine inarusha maelfu ya makombora kila siku na mengi yanatoka nato.


Afisa mkuu ambaye ni mwenye kiti wa kamati ya nato alisema miongo kadhaa ya uwekezaji duni wa unamaanisha kuwa nchi za nato huipa silaha kutoka ghara ambazo ni nusi na zingine hazina kabisa.

Uchumi hulia tulio ujenga kwa miaka 30 ni mzuri kwa mambo mengi lakini sio katika eneo la vikosi vya kijeshi wakati kuna vita vinaendelea.
Nchi za Nato na umoja wa Ulaya zinekubaliana ikiwemo mikataba ya utengenezaji wa silaha kwa pamoja, na kutoa ruzuku kwa uzalishaji kadri wawezavyo .
Lakini inaonekana bado
silaha ni kidogo kwa Ukraine.
Wachambuzi wanasema kinyume chake Urusi inaonekana kuwa na uwezo zaidi wa kusimamia uchumi wake wakati wa vita ili kujazia akiba yake ya silaha.

Chanzo : BBC Swahili
 
Unaishi nchi gani wewe?

Mbona hapa bongo ilishafangika?
 
Maadili yakuajiri mashoga nawasagaji us na rc hawana maadili ni wapuuzi uchumi wa us wa kudanganya msaada kidogo tu kwa us wanaanza kutaftana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…