Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
Huyu ni zaidi ya Halima nampendaga hadi mwishoView attachment 3201919
View attachment 3201920
Kama Kuna kitu BAWACHA wamepata na wanapashwa kujivunia basi ni huyu Mama,
Kwa ujasiri alionao huyu mama ni kama Simba Kweli Kweli hakika ni Mama anayestahili kufanya kazi na jasiri TUNDU LISSU.
BAWACHA MUNGU AWAONGOZE VEMA
Anafaa mno kazi kwenu BAWACHAHuyu Mwana mama ni jasiri hasa ,mwanamke mwenye misimamo isiyoyumbishwa ninamfahamu vizuri sana .
Ila tu asigawe rushwa ataharibu sanaHuyu Mama jamani ni jasiri pengine zaidi hata ya Lissu,
Kura yangu Simba anayo,β
Dada amepita huyu ni zaidi ya SimbaView attachment 3201919
View attachment 3201920
Kama Kuna kitu BAWACHA wamepata na wanapashwa kujivunia basi ni huyu Mama,
Kwa ujasiri alionao huyu mama ni kama Simba Kweli Kweli hakika ni Mama anayestahili kufanya kazi na jasiri TUNDU LISSU.
BAWACHA MUNGU AWAONGOZE VEMA
Twrnde kaziView attachment 3201919
View attachment 3201920
Kama Kuna kitu BAWACHA wamepata na wanapashwa kujivunia basi ni huyu Mama,
Kwa ujasiri alionao huyu mama ni kama Simba Kweli Kweli hakika ni Mama anayestahili kufanya kazi na jasiri TUNDU LISSU.
BAWACHA MUNGU AWAONGOZE VEMA
Na Mungu ambarikiHuyu Mwana mama ni jasiri hasa ,mwanamke mwenye misimamo isiyoyumbishwa ninamfahamu vizuri sana .
Mbowe kuepuka aibu hata kama amepokea hizo hela kutoka kwa Samia, hajachelewaAyatollah khemenei kaguta nkurunzinza mbowe πππ
Kabaki yeye na Yericko anayemuita Mbowe Alfa na Omega.Bowe ndio basi tenaaa
Yericko wa matambiko na mizimu π π πKabaki yeye na Yericko anayemuita Mbowe Alfa na Omega.
Mama Sharifa anatosha. Angalau muwekeni japo muislam 1 top ya chademaHuyu Mama jamani ni jasiri pengine zaidi hata ya Lissu,
Kura yangu Simba anayo,β
Ayatollah FAM na mwenzie Wenje wameharibu mno kwa kukubali kununuliwa na kutumikia MbogambogaAyatollah khemenei kaguta nkurunzinza mbowe πππ
Uimarishaji wa uhusiano wa kimataifa.View attachment 3201919
View attachment 3201920
Kama Kuna kitu BAWACHA wamepata na wanapashwa kujivunia basi ni huyu Mama,
Kwa ujasiri alionao huyu mama ni kama Simba Kweli Kweli hakika ni Mama anayestahili kufanya kazi na jasiri TUNDU LISSU.
BAWACHA MUNGU AWAONGOZE VEMA
DuhMama Sharifa anatosha. Angalau muwekeni japo muislam 1 top ya chadema