Pre GE2025 Spika wa Bunge la Wananchi Selestine Simba atangaza kumuunga mkono Lissu huku akitangaza kugombea Uenyekiti BAWACHA Taifa ili kujenga CHADEMA mpya

Pre GE2025 Spika wa Bunge la Wananchi Selestine Simba atangaza kumuunga mkono Lissu huku akitangaza kugombea Uenyekiti BAWACHA Taifa ili kujenga CHADEMA mpya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mbangaizaji wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
493
Reaction score
844
IMG-20250113-WA0029.jpg



Kama Kuna kitu BAWACHA wamepata na wanapashwa kujivunia basi ni huyu Mama,

Kwa ujasiri alionao huyu mama ni kama Simba Kweli Kweli hakika ni Mama anayestahili kufanya kazi na jasiri TUNDU LISSU.

BAWACHA MUNGU AWAONGOZE VEMA
 
Ayatollah khemenei kaguta nkurunzinza mbowe 😄😄😄
Mbowe kuepuka aibu hata kama amepokea hizo hela kutoka kwa Samia, hajachelewa
kuficha aibu yake kwa kujitoa kwenye kugombea!!
Kama watu wake wa karibu wakina Lema wanamshauri asigombee
kwanini hasikii? Kweli wahenga walisema SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA😳😳
 
Back
Top Bottom