Spika wa Bunge Senegal ajiuzulu, aeleza ni kwa Maslahi mapana ya Taifa

Spika wa Bunge Senegal ajiuzulu, aeleza ni kwa Maslahi mapana ya Taifa

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Spika wa bunge la Senegal ametangaza kujiuzulu nafasi yake, siku mbili tu baada ya mshirika wake wa karibu kufutwa kazi kama Waziri Mkuu, hatua inayozidisha mzozo wa kisiasa nchini humo.

Uamuzi huo wa Spika El Malick Ndiaye unafungua njia kwa aliyekuwa Waziri Mkuu aliyetimuliwa, Ousmane Sonko, kugombea nafasi hiyo ya uspika wa bunge, ambapo chama chake cha Pastef kina idadi kubwa ya viti.

Hali hii inaweza kukwamisha zaidi juhudi za mageuzi za Rais Bassirou Diomaye Faye, ambaye alimfuta kazi mshirika wake huyo wa zamani, Sonko, siku ya Ijumaa baada ya miezi kadhaa ya mivutano.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Ndiaye alisema kuwa uamuzi wake wa kujiuzulu ulikuwa "hiari yake binafsi, iliyoongozwa zaidi na mtazamo wangu kuhusu taasisi, uwajibikaji wa umma, na maslahi mapana ya taifa."

1779691891505.png

​

=============

The speaker of Senegal’s parliament says he is resigning, two days after his close ally was fired as prime minister in a deepening political crisis.

The move by speaker El Malick Ndiaye clears the way for sacked premier Ousmane Sonko to run for the post of head of parliament, where his Pastef party holds a strong majority.
That could further complicate reform efforts by President Bassirou Diomaye Faye, who sacked his former ally Sonko on Friday after months of tensions.

Ndiaye said on Facebook that his decision to step down was “a personal choice, guided above all by my notion of institutions, public responsibility and the greater interest of the nation”.

Faye owed his presidency in large part to Sonko, who would almost certainly have taken the top job had he not been barred from running in the last presidential election due to a defamation conviction.

Their Pastef party won the 2024 elections on a promise of a profound political shake-up, vowing to fight corruption and inheriting an economy mired in debt.

But there had been discord between the president and prime minister for months, making their governing alliance increasingly uncertain.

Faye’s dismissal of Sonko on Friday risked worsening uncertainty in a country grappling with a debt crisis and ⁠ongoing talks with the International Monetary Fund (IMF).

The IMF froze a $1.8bn lending programme following ‌the discovery of misreported debt hidden by the previous government, pushing the country’s end-2024 debt level to 132 percent of its economic output.

Faye’s move increases the threat of further delays in reaching a new agreement with the IMF.

On Friday, before Sonko’s dismissal, Finance Minister Cheikh Diba told parliament that the government expects to resume talks with the IMF in the second week of June, and hopes to reach an agreement on key points by June 30.

Sonko was a popular opposition leader under the previous administration of President Macky Sall, whose decision to delay the 2024 election spurred unrest.

Both Faye and Sonko are former tax officials who ⁠were jailed ahead of the 2024 election. They were released 10 days before the rescheduled contest, which Faye went on to win with 54 percent of the vote.

Pastef dominates the National Assembly, meaning it could complicate governance and the passage of reforms needed to secure IMF support. Last ‌month, politicians overwhelmingly approved electoral code changes that could pave the way for Sonko to run for president in 2029.

Source: Al Jazeera
 
Tatizo la Africa Rais ndio kila kitu, usishangae akavunja bunge na kumtangaza Sonko ni mhaini na kumfunga maisha.

Hapa Sonko awe mpole tu hata asiwe spika akae pembeni asubiri tu "maridhiano" then arejee serikalini waendelee na maisha. Ila wakitunishiana misuli hii vita itaishia pabaya
 
Tatizo la Africa Rais ndio kila kitu, usishangae akavunja bunge na kumtangaza Sonko ni mhaini na kumfunga maisha.

Hapa Sonko awe mpole tu hata asiwe spika akae pembeni asubiri tu "maridhiano" then arejee serikalini waendelee na maisha. Ila wakitunishiana misuli hii vita itaishia pabaya
Ngoja tuone yetu 👀
 
Back
Top Bottom