Spika wa Bunge UDOM nae aondolewa na polisi baada ya kutaka kutoa tamko

chikutentema

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
7,694
Reaction score
4,954
Ni baada ya kamanda masatu na mwakibinga kuondolewa jana kwa escort ya polisi Leo kamanda Messanga Thobias, anayesoma sheria mwaka wa tatu(spika wa bunge).

Kaondolewa kwa ulinzi mkali na mizigo yake ili asitoe tamko baada ya kuvujishwa taarifa na wanafunzi vibaraka Usijari mdogo wangu mesanga natambua mchango wako udom, utasoma tu
 
Wana udom wameamua kukaa kmya? wakiyaona haya yanatendeka hiki ni chuo kikuu sio kindergatern bwana pls?
 
Hakuna chuo tena hapo bali ni kambi ya uvccm.Udhalimu na ufedhuli wa hali ya juu.
 
Haya manyanyaso mpaka lini??

Kwanini kuwatendea wasio upande wenu kama wanyama? Hii ni nchi yetu sote maccm.!! Sasa mnatala kutuondoa wote tusiokubaliana na ninyi tubaki uraiani ninyi tu ndiomuwepo kwenye ajira, nchi hii itatawalika??

BACK TANGANYIKA
 
Kama chuo hakina raisi, waziri mkuu wala spika , je ni nani anayeongoza serikali ya wanafunzi hapo . Je wanafahamu madhara ya kutokuwepo kwa serikali kwenye taasisi za juu. Hao wahadhiri ndio wanao chochea mgomo na vurugu hizo
 
Hawa wanavyuo mbona waoga!!!wachome moto defender moja hapo
 

Napenda sana watu wakae kwa amani chuo nikimaanisha wapewe stahiki zao kama fedha za matumizi ambayo ni mikopo yao halali waliyokubaliana na bodi ya elimu ya juu.

NINA SWALI MOJA TU
Hii tabia ya kuitana makamanda wakati mko kwenye taasisi ya elimu mnaamaanisha nini au vijana wenzangu mnatumika kisiasa badala ya kusoma?
Chuo sio sehemu ya kuweka siasa maana mwisho wake hua sio mzuri, wanachuo mdai chenu ila msiingize chama cha siasa wala dalili za siasa kwenye masomo.
 
kazi kweli kweli mnataka amani hamtaki haki!!! futa wazo la amani kama haki hakuna!! ndugu Watanzania ni nani asiependa amani? hakuna ila kila mtu anaitaji haki!!!
 

Mbona uvccm wamejazana hapa udom? Na wanaendelea kukenua meno wakati wenzao wa vyama vingine wanaendelea kunyanyasika? Wewe kama ni msomi basi ongea uhalisia wacha kutawaliwa na itikadi.
 

Kweli na pia masomo yenye mwelekeo wa kisiasa kama POLITICAL SCIENCE yafutwe!! Pia kauli kama za mwalimu nyerere za siasa ni maisha, kilimo ni siasa .....and vicersa vyooote vifutwe na marufuku juu!!
 
wakienda mahakamani wanarudishwa hao, kama kuna wabunge wa mahakama kitashindikana nini kuwa na wanafunzi wa mahakama.

Ref. Mtenga and others V. University of Dar es salaam

No
Kutoijua 'haki'
 
UDOM, mnavuna mlichopanda. Ccm iliwadanganya muda mrefu. Ikawaaminisha kuwa mtakuwa bora kuliko UDSM. Na hata ajira mlipendelewa hamkujua kuwa ma-ccm ni matapeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…