Wiseman BN
Member
- May 25, 2013
- 11
- 0
Atakuwa alikuwa na bifu na prof mmoja, akala kichwa. Ajipange kivingine, maisha hayana uhusiano na digrii bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kijana ambaye alikuwa naibu spika serikali iliyotoka madarakanu anayejulikana kwa jina la azizi chavuranda kama sijakosea.
Zaidi ya wiki sasa namuona kwao dsm wakati wenzake wanaendelea na masomo sasa leo nimekutana na best angu ni mfanyakazi pale udom ananiambia dogo amedsco chuo
My take
Vijana mkiwa chuo msome muachane na siasa zisizo na msingi sasa dogo miaka yote mitatu amepoteza bure