spika wa serikali ya wanafunzi udom amedisco

Atakuwa alikuwa na bifu na prof mmoja, akala kichwa. Ajipange kivingine, maisha hayana uhusiano na digrii bwana
 

Nafikiri una lingine, kama ni hilo hilo wewe ni zero kabisa! Na inaonekana hujasoma sijui na sifa ya ku-disco umeitolea wapi!
 
Haitusaidii kitu ila ulicho kiandika apo ni udhalilishaji

hivi ingekuwa ume andikwa wewe kama hivi unge jiskiaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…