mtufudenge
Member
- Jun 7, 2016
- 9
- 13
Uza laki na nusu uchukue hela fasta, kwa teknolojia ilikofikia hamna mtu anahangaika na speaker za woofer.
hahaha, hakuna spika za laki 4 hapo, labda uwakamate wa kileji,Kwa uwezo wa hizi Speakers na mwenye kuzijua wala hana Maongezi. Zilikuwa Sets Nane Model hii. Zote 7 nimeuza 400k bila comments.