INAUZWA Spika za Sony zenye sauti nzuri na mdundo mzito

INAUZWA Spika za Sony zenye sauti nzuri na mdundo mzito

mtufudenge

Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
9
Reaction score
13
NAUZA SPEAKER AINA YA SONY SS-LB 455
Hizi ni SPEAKER ORIGINAL USED zenye nguvu kwa Usikivu mzuri wa sauti na MDUNDO wa nguvu.

Zipo SPEAKER Mbili ambazo kila moja ndani ina Speaker Nne.

Ina Speaker tatu kwa mbele ambazo ni ya Tweeter, MIDI na Bass na kwa Nyumba kuna Super Woofer Speaker yenye Bass nzito (mdundo wa nguvu)

Good condition.

BEI KWA ZOTE MBILI- 380k

Zipo Mbezi Luis na zinatumwa Mkoa wowote hapa Tanzania kwa gharama za mnunuzi.

Namba 0758 764 826
IMG_3143.jpg

IMG_5394.jpg

IMG_5393.jpg

IMG_5391.jpg
 
Uza laki na nusu uchukue hela fasta, kwa teknolojia ilikofikia hamna mtu anahangaika na speaker za woofer.
 
Uza laki na nusu uchukue hela fasta, kwa teknolojia ilikofikia hamna mtu anahangaika na speaker za woofer.

Kwa uwezo wa hizi Speakers na mwenye kuzijua wala hana Maongezi. Zilikuwa Sets Nane Model hii. Zote 7 nimeuza 400k bila comments.
 
Kwa uwezo wa hizi Speakers na mwenye kuzijua wala hana Maongezi. Zilikuwa Sets Nane Model hii. Zote 7 nimeuza 400k bila comments.
hahaha, hakuna spika za laki 4 hapo, labda uwakamate wa kileji,
 
Back
Top Bottom