Mwanahabari Huria
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 406
- 308
Rostam azizi kashituka sana kuona hii comment πPPP ni ya Rostam
Hii serikali ina watu wasomi sana lakini ni kama mbuni aliye ingiza kichwa shimoni akililia mapato mengi huku mwili wake ukiwa angani ukiteseka na hali halisi.MASHIRIKA YANAYOKWAMISHA MIRADI YA PPP KIKAANGONI BUNGENI DODOMA
SPIKA ZUNGU amesema kuwa baadhi ya miradi ya PPP imekwama kwa muda mrefu, hali inayosababisha kupungua kwa mapato ya serikali. Amesema kutokana na hilo, amemwagiza Mtendaji Mkuu wa PPP kuwasilisha orodha ya miradi yote ya PPP iliyokwama katika kikao cha pamoja na Kamati ya Bajeti tarehe 25 Juni
SPIKA ZUNGU amesema kuwa baadhi ya miradi ya PPP imekwama kwa muda mrefu, hali inayosababisha kupungua kwa mapato ya serikali. Amesema kutokana na hilo, amemwagiza Mtendaji Mkuu wa PPP kuwasilisha orodha ya miradi yote ya PPP iliyokwama katika kikao cha pamoja na Kamati ya Bajeti tarehe 25 Juni 2026 kuanzia saa saba mchana mjini Dodoma Bungeni, ambapo wadau wote wanaohusika na miradi hiyo watatakiwa kuhudhuria.
Ameongeza kuwa amemuomba Mhe. Mwanasheria Mkuu (AG) kuchunguza kama sheria za miradi ya PPP bado ni ngumu, na iwapo ni hivyo, watendaji wa PPP wakae pamoja na kuzipitia ili PPP iweze kuchangia maendeleo ya taifa.
Spika Zungu amekumbusha kuwa Bunge lililopitisha Dira ya Taifa kwa kauli moja lilikubaliana kuwa asilimia 70 ya utekelezaji wake utafanywa na sekta binafsi, hivyo sekta binafsi inahitaji mazingira mazuri ya kufanya kazi. Amesisitiza kuwa masilahi ya taifa lazima yawekwe mbele, lakini pia ni muhimu kuwa na sheria ambazo hazitawafanya wawekezaji washindwe na kuondoka.
Aidha, amesema kuwa mapato ya ndani ya serikali badala ya kutumika kwenye miradi mikubwa ya maendeleo, yatumike kwa ustawi bora wa wananchi β kama kuwajengea makazi bora, kupandisha mishahara, kuboresha huduma za afya, kutoa elimu bora, na mambo mengine yanayolenga kuwasaidia wananch
View: https://www.instagram.com/reel/DZoxaV6gqgb/?igsh=ZHJmdzNjNTNoMXMz
Miradi mingi ya PPPA yanaishia kwenye maneno tu na makabrashaSerikali ya Samia yatenga Tzs trillion 1 kwa ajili ya safari.
Inasikitisha sana .
David Kafulila ni maneno mengi tu hamna kitu hapo
MASHIRIKA YANAYOCHELEWESHA MIRADI YA PPP SASA KUWEKWA KITIMOTO BUNGENI DODOMA
SPIKA ZUNGU amesema kuwa baadhi ya miradi ya PPP imekwama kwa muda mrefu, hali inayosababisha kupungua kwa mapato ya serikali. Amesema kutokana na hilo, amemwagiza Mtendaji Mkuu wa PPP kuwasilisha orodha ya miradi yote ya PPP iliyokwama katika kikao cha pamoja na Kamati ya Bajeti tarehe 25 Juni
SPIKA ZUNGU amesema kuwa baadhi ya miradi ya PPP imekwama kwa muda mrefu, hali inayosababisha kupungua kwa mapato ya serikali. Amesema kutokana na hilo, amemwagiza Mtendaji Mkuu wa PPP kuwasilisha orodha ya miradi yote ya PPP iliyokwama katika kikao cha pamoja na Kamati ya Bajeti tarehe 25 Juni 2026 kuanzia saa saba mchana mjini Dodoma Bungeni, ambapo wadau wote wanaohusika na miradi hiyo watatakiwa kuhudhuria.
Ameongeza kuwa amemuomba Mhe. Mwanasheria Mkuu (AG) kuchunguza kama sheria za miradi ya PPP bado ni ngumu, na iwapo ni hivyo, watendaji wa PPP wakae pamoja na kuzipitia ili PPP iweze kuchangia maendeleo ya taifa.
Spika Zungu amekumbusha kuwa Bunge lililopitisha Dira ya Taifa kwa kauli moja lilikubaliana kuwa asilimia 70 ya utekelezaji wake utafanywa na sekta binafsi, hivyo sekta binafsi inahitaji mazingira mazuri ya kufanya kazi. Amesisitiza kuwa masilahi ya taifa lazima yawekwe mbele, lakini pia ni muhimu kuwa na sheria ambazo hazitawafanya wawekezaji washindwe na kuondoka.
Aidha, amesema kuwa mapato ya ndani ya serikali badala ya kutumika kwenye miradi mikubwa ya maendeleo, yatumike kwa ustawi bora wa wananchi β kama kuwajengea makazi bora, kupandisha mishahara, kuboresha huduma za afya, kutoa elimu bora, na mambo mengine yanayolenga kuwasaidia wananchi.
View: https://www.instagram.com/reel/DZpSoZ5Adta/?igsh=ODYxMXRtcDd5YjVm[/URL]
What do you mean?PPPP>RRRR.
Hata Mungu aliumba Dunia kwa maneno tuSerikali ya Samia yatenga Tzs trillion 1 kwa ajili ya safari.
Inasikitisha sana .
David Kafulila ni maneno mengi tu hamna kitu hapo
Ulitaka watembee kwa miguu?Serikali ya Samia yatenga Tzs trillion 1 kwa ajili ya safari.
Inasikitisha sana .
David Kafulila ni maneno mengi tu hamna kitu hapo
Miradi iliyokwama ni ipi?MASHIRIKA YANAYOCHELEWESHA MIRADI YA PPP SASA KUWEKWA KITIMOTO BUNGENI DODOMA
===
SPIKA ZUNGU amesema kuwa baadhi ya miradi ya PPP imekwama kwa muda mrefu, hali inayosababisha kupungua kwa mapato ya serikali. Amesema kutokana na hilo, amemwagiza Mtendaji Mkuu wa PPP kuwasilisha orodha ya miradi yote ya PPP iliyokwama katika kikao cha pamoja na Kamati ya Bajeti tarehe 25 Juni 2026 kuanzia saa saba mchana mjini Dodoma Bungeni, ambapo wadau wote wanaohusika na miradi hiyo watatakiwa kuhudhuria.
Ameongeza kuwa amemuomba Mhe. Mwanasheria Mkuu (AG) kuchunguza kama sheria za miradi ya PPP bado ni ngumu, na iwapo ni hivyo, watendaji wa PPP wakae pamoja na kuzipitia ili PPP iweze kuchangia maendeleo ya taifa.
Spika Zungu amekumbusha kuwa Bunge lililopitisha Dira ya Taifa kwa kauli moja lilikubaliana kuwa asilimia 70 ya utekelezaji wake utafanywa na sekta binafsi, hivyo sekta binafsi inahitaji mazingira mazuri ya kufanya kazi. Amesisitiza kuwa masilahi ya taifa lazima yawekwe mbele, lakini pia ni muhimu kuwa na sheria ambazo hazitawafanya wawekezaji washindwe na kuondoka.
Soma: David Kafulila: Sasa PPP Tanzania tumefikisha miradi ya TZS 11 TRL na 80% ni ya awamu ya 6
Aidha, amesema kuwa mapato ya ndani ya serikali badala ya kutumika kwenye miradi mikubwa ya maendeleo, yatumike kwa ustawi bora wa wananchi β kama kuwajengea makazi bora, kupandisha mishahara, kuboresha huduma za afya, kutoa elimu bora, na mambo mengine yanayolenga kuwasaidia wananchi.
Kabisa aisee eti UzalendoMiradi iliyokwama ni ipi?
Pili Kwa navyowajua watu wa Bara wanaojiita Watanganyika ni watu conservative sana yaani utake pesa za private sector harafu uweke rundo la Masharti nani aweke pesa zake mje kugawana?
Hakuna uzalendo ni ujinga tuu imejaa huku Bara Kwa watu sluggish.Kabisa aisee eti Uzalendo
πππHakuna uzalendo ni ujinga tuu imejaa huku Bara Kwa watu sluggish.
Eti saizi wanawalalamikia Wazanzibari πππ
Machawa si ndio mnajiita wazalendo siku hizi?Hakuna uzalendo ni ujinga tuu imejaa huku Bara Kwa watu sluggish.
Eti saizi wanawalalamikia Wazanzibari πππ
Fisadi duuhFisadi tumbili anatauchezea maigizo na mafisadi wenzie wa Lumumba.
Kafullla ni hazinaMachawa si ndio mnajiita wazalendo siku hizi?
Mtu akifichua wizi anatekwa.