Hazina kwa machawa wake.Kafullla ni hazina

Unashangaa nini?Fisadi duuh
Pointi sanaPPP ni changamoto kwa sababu;
1. Wataalamu wa serikali hawapo huru, hutegemea wanasiasa ambao wengi ni opportunists wasio na utaalamu
2. Wageni wanajua hili ni shamba LA Bibi kwa sababu iliyotajwa juu.
3. Wapiga domo na nadharia ndiyo wengi serikalini na wenye madaraka, pia hujikomba kwa wageni hivyo kufanya wataalamu wenyeji kushindwa kujadili kwa facts.
4. Ili kuondoka hapa, serikali iwezeshe sekta binafsi ya wazawa, hiyo ndiyo iingie mikataba na makampuni ya kigeni.
5. Kwa hali halisi iliyopo, watumishi wengi wa serikali hawana uwezo wa kujadili kwa tija kwenye PPP (wengine watajilipua kama machangudoa tu).
ZunguMASHIRIKA YANAYOCHELEWESHA MIRADI YA PPP SASA KUWEKWA KITIMOTO BUNGENI DODOMA
===
SPIKA ZUNGU amesema kuwa baadhi ya miradi ya PPP imekwama kwa muda mrefu, hali inayosababisha kupungua kwa mapato ya serikali. Amesema kutokana na hilo, amemwagiza Mtendaji Mkuu wa PPP kuwasilisha orodha ya miradi yote ya PPP iliyokwama katika kikao cha pamoja na Kamati ya Bajeti tarehe 25 Juni 2026 kuanzia saa saba mchana mjini Dodoma Bungeni, ambapo wadau wote wanaohusika na miradi hiyo watatakiwa kuhudhuria.
Ameongeza kuwa amemuomba Mhe. Mwanasheria Mkuu (AG) kuchunguza kama sheria za miradi ya PPP bado ni ngumu, na iwapo ni hivyo, watendaji wa PPP wakae pamoja na kuzipitia ili PPP iweze kuchangia maendeleo ya taifa.
Spika Zungu amekumbusha kuwa Bunge lililopitisha Dira ya Taifa kwa kauli moja lilikubaliana kuwa asilimia 70 ya utekelezaji wake utafanywa na sekta binafsi, hivyo sekta binafsi inahitaji mazingira mazuri ya kufanya kazi. Amesisitiza kuwa masilahi ya taifa lazima yawekwe mbele, lakini pia ni muhimu kuwa na sheria ambazo hazitawafanya wawekezaji washindwe na kuondoka.
Soma: David Kafulila: Sasa PPP Tanzania tumefikisha miradi ya TZS 11 TRL na 80% ni ya awamu ya 6
Aidha, amesema kuwa mapato ya ndani ya serikali badala ya kutumika kwenye miradi mikubwa ya maendeleo, yatumike kwa ustawi bora wa wananchi — kama kuwajengea makazi bora, kupandisha mishahara, kuboresha huduma za afya, kutoa elimu bora, na mambo mengine yanayolenga kuwasaidia wananchi.
How?PPP ni ya Rostam

😃😃PPP ... pimpipimi pipiiiiiii![]()
Nini?
KabisaHuyu spika naona anakauzalendo ndani yake
Kwanini mashirika ya hifadhi za jamii yasiingie kwenye miradi hii na mashirika mengine ya umma yakawa listed DSE ili wananchi wanunue hisa humo.PPP ni changamoto kwa sababu;
1. Wataalamu wa serikali hawapo huru, hutegemea wanasiasa ambao wengi ni opportunists wasio na utaalamu
2. Wageni wanajua hili ni shamba LA Bibi kwa sababu iliyotajwa juu.
3. Wapiga domo na nadharia ndiyo wengi serikalini na wenye madaraka, pia hujikomba kwa wageni hivyo kufanya wataalamu wenyeji kushindwa kujadili kwa facts.
4. Ili kuondoka hapa, serikali iwezeshe sekta binafsi ya wazawa, hiyo ndiyo iingie mikataba na makampuni ya kigeni.
5. Kwa hali halisi iliyopo, watumishi wengi wa serikali hawana uwezo wa kujadili kwa tija kwenye PPP (wengine watajilipua kama machangudoa tu).
subiri tuonePPPP>RRRR.
Asante mzee wetuMASHIRIKA YANAYOCHELEWESHA MIRADI YA PPP SASA KUWEKWA KITIMOTO BUNGENI DODOMA