Spika Zungu aagiza Uchunguzi wa Miradi ya PPP iliyokwama

Pointi sana
 
Zungu
 
Kwanini mashirika ya hifadhi za jamii yasiingie kwenye miradi hii na mashirika mengine ya umma yakawa listed DSE ili wananchi wanunue hisa humo.

Mashirika ya hifadhi ya jamii kuendelea kuwekeza kwenye frames tu nao ni ujinga uliozoeleka
 
Asante mzee wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…