PostGE2025 Spika Zungu: Rais kanyanyua mikono karibuni tuzungumze

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.

“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu.

Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.

Azungumze mwenyewe huyo Rais, inakuwaje kiongozi wa muhimili mwingine anakuwa msemaji wa kiongozi wa muhimili mwingine?

Kama Serikali iliyopo madarakani ilichaguliwa kwa asilimia 98, yaani kura milioni 32 ilipigiwa, mbona wameanza kutoa milio wakati hata mwaka hawajamaliza ?
 
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.

“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu.

Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.
Mwambie Zungu, mimi mwananchi nauliza hivi, kwa nini kwenye kujenga nnchi tunaitwa wananchi sote tupambane kuijenga nchi, lakini kwenye kula keki ya taifa wanakula wao wachache tuu!???
 
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.

“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu.

Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.
Hapa habari ni hiyo ya bunge kumpongeza Samia, hayo mengine ni mastory ya town tu ya Zungu, yeye mwenyewe kawekwa tu hapo hakutarajia kupata hiyo nafasi.
 
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.

“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu.

Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.
View attachment 3699591
Mbon asasa anataka Kumnyonga Hadi Kufa, mtu pekee wa upande wetu wa kuzungumza na kuridhiana naye???
 
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.

“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu.

Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.
View attachment 3699591
😃😃😃😃😃😃😃 Zungu bana
 
Huyu naye. Mtu kashasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi, kanyanyua mikono lini?

Au anataka kuondolewa na yeye?
 
Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la BUNGE LA KUMPONGEZA RAIS Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
 
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.

“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu.

Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.
View attachment 3699591
Raisi aliyechaguliwa kwa 98 percent ananyanyaje mikono juu?
Zungu hujameza dawa za sukari Leo?
 
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.

“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu.

Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.
View attachment 3699591
Bunge la machawa chini ya chawa Mkuu anayejiita spika
 
Back
Top Bottom