Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
💯%Bunge haramu lazima limpongeze mwenyekiti wao haramu
Mwambie Zungu, mimi mwananchi nauliza hivi, kwa nini kwenye kujenga nnchi tunaitwa wananchi sote tupambane kuijenga nchi, lakini kwenye kula keki ya taifa wanakula wao wachache tuu!???Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.
“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu.
Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.
Hapa habari ni hiyo ya bunge kumpongeza Samia, hayo mengine ni mastory ya town tu ya Zungu, yeye mwenyewe kawekwa tu hapo hakutarajia kupata hiyo nafasi.Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.
“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu.
Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.
Mbon asasa anataka Kumnyonga Hadi Kufa, mtu pekee wa upande wetu wa kuzungumza na kuridhiana naye???Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.
“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu.
Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.
View attachment 3699591
😃😃😃😃😃😃😃 Zungu banaSpika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.
“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu.
Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.
View attachment 3699591
Huyu naye. Mtu kashasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi, kanyanyua mikono lini?Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.
“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu.
Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.
View attachment 3699591
Raisi aliyechaguliwa kwa 98 percent ananyanyaje mikono juu?Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.
“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu.
Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.
View attachment 3699591
Bunge la machawa chini ya chawa Mkuu anayejiita spikaSpika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.
“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu.
Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.
View attachment 3699591
Sio sukari tu sema na za ARVRaisi aliyechaguliwa kwSio sukari tu na arva 98 percent ananyanyaje mikono juu?
Zungu hujameza dawa za sukari Leo?
Waridhiano mara mazungumzo lakini hawataki kusema wamefanya niniKwani kuna mgogoro gani mpaka mnataka kuzungumza? Mmefanya nini kwani?