PostGE2025 Spika Zungu: Rais kanyanyua mikono karibuni tuzungumze

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa hiyo Zungu ni msemaji wa Rais
Au ni kiongozi wa Muhimili mwingine
 
Rais hupenda kujionesha yeye ni wa CCM na kila kinachofanywa ni cha CCM, tuende hivyohivyo kama inawafaidisha.
 
Kunyanyua mikono ni ishara ya kushindwa. Je, ni kweli kuwa Rais kashindwa?
Hivi huyo anayeitwa Spika wa bunge ndiye msemaji mkuu wa Rais?
Kwanini akatamke kushindwa kwa Rais bungeni ambako kuna zaidi ya 99.9% ya waanaojiita wabunge wa ccm?
Kwanini wasake maridhiano wakati tume ya Jaji Lila bado ipo kazini?
Na kwanini watake kusimamia maridhiano wakati wao ndo kiini cha tatizo?

NB: Huwezi kuua ili hutamalaki!
 
Huyo ni spika wa Bunge haramu...Yeye pia ni haramu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…