PostGE2025 Spika Zungu: Rais kanyanyua mikono karibuni tuzungumze

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwani kuna nini kimetokea huko Bongo hadi Rais haramu anataka mazungumzo? Yeye si alipata ushindi wa 98% sasa milio ya nini tena?
 
Kunyanyua mikono ni ishara ya kushindwa. Je, ni kweli kuwa Rais kashindwa?
... Mhe. Rais anawakaribisha; amekunjua mikono yake kwa upole kabisa - njooni tuzungumze. Kajishusha kweli kweli; ishara ya mamlaka, na nguvu, na uweza! Anawakaribisheni.
 
..wanataka mazungumzo bila kuwaachia waliowateka, na kuonyesha waliouwawa wamezikwa wapi?
 
JPM birthday ni October 29,

Nani aje meza ya mazungumzo mkiwa armed, tena masked?
 
Zungu na Tulia ni "maspika" ambao hawana utiisho wa uspika.Bora hata mzee wa nchi itauzwa ingawa naye walimfyatua
 
Amenyanyua mikono wakati anaendelea kuwateka na kuwaua kwa siri wakosoaji wake.
 
Ulimi umemteleza tu hapo! Hana Ridhas ya

Ulimi umemteleza tu huyo! Hayo maneno hayana Ridhaa ya akina Makonda ⁴& Co!
 
Way forward. Tell me way forward.
The way forward is not revenge.
Not denial.
Not repression.
Not political triumphalism.
It is:
TRUTH → JUSTICE → DIALOGUE → REFORM → RECONCILIATION.
We are a people.
 
Ili ni geni kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…