PostGE2025 Spika Zungu: Rais kanyanyua mikono karibuni tuzungumze

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mimi pia nimeshangaa, Waziri mkuu ndio alipaswa kuzungumza hayo maneno na si Spika( japo wote ni haramu)
 
Watu hawawezi kuwa pamoja na kujenga nchi ikiwa yanayolalamikiwa hayajatafutiwa ufumbuzi
 
Mbona hatujamsikia Mama kwa kauri yake akisema hivyo?
Ananyosha mkono upi wakati watu bado wanatekwa na kupotezwa?
 
“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu
Sehemu kubwa ya matatizo yetu yanatokana na watu kama huyu.

Yeye anafikiri kila kitu kipo sawa, kwa vile tu anajiona kashika madaraka.
Kamwe hawezi kuona kuwa matatizo yaliyopo yanaanzia kwa wao. Wao ni wasafi, wachafu ni hao wanaokataa kupokonywa haki zao; kama haki ya kuwachagua viongozi wao kwa uhuru bila ya kushinikizwa na yeyote.
Haya kwake hayana maana yoyote.
Yeye anataka ndiye awapangie wengiune anayoyaona yanafaa.
 
Si ajabu akatekwa na yeye kujipendekeza wakati hajatumwa kuongea! Nchimbie alisema pia mama anataka katiba mpya nini kikafuata?
 
Haya mapuuzi baada ya kuua maelfu ya watanganyika MO29 ndko yanakumbuka shuka leo?
 
Zungu mnafiki, wanaona Bunge limekuwa la machawa, na kila mbunge anakwepesha bawa lake kuongea ukweli.
 
Huyu Mzee siku ya kukamatwa asukumiwe wanainchi wapewe viboko vya mti wa mpera, wamtandike hadi afe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…