Siku hizi Zungu kawa MsigwaKwa hiyo Zungu ni msemaji wa Rais
Au ni kiongozi wa Muhimili mwingine
Asimame yeye mwenyewe atoe hiyo kauli.Anasemewa kwani ni mlemavu?Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.
“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu.
Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.
Wala haishangazi mwizi kumpongeza mwizi mwenzake. Takataka huyo.Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.
“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu.
Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.
“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono karibuni tuje tuzungumze. Tanzania haiwezi kujengwa na chama kimoja, tushirikiane kuijenga Tanzania kwa Watanzania wote kwa pamoja,” amesema Zungu.
Spika huyo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli za Bunge Jumanne, Oktoba 27, 2026, baada ya wabunge kujadili na kupitisha Azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Mkutano huo ulifanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.
Huu ndy ukweli hio namna haipo ni kuomba mungu tuAisee!!!
Si aliua watu ili atamalaki? Kwanini akunjue mikono? Je, wanataka kufanya maridhiano na nani? Vyama au wananchi waliouliwa ndugu zao?... Mhe. Rais anawakaribisha; amekunjua mikono yake kwa upole kabisa - njooni tuzungumze. Kajishusha kweli kweli; ishara ya mamlaka, na nguvu, na uweza! Anawakaribisheni.