Nenda kampokeee zuchuDogo kapiga kelele nyingi lkn hakuna hata point moja aliyoongea, jenzii wanaandamana na kuharibu nchi Yao kwa faida ya mahasimu ya Ruto, Hao Hao mahasimu wa Ruto hata wakishika kiti Bado hawatawaletea ugali mezani, jenzii wa kenya ni kizazi cha nyoka kilicholaaniwa na hakina adabu.
🥱🥱 Hv lugha inamfanya mtu kuwa mjinga kweli? Mm nadhani huu ni ujinga mwingine juu ya ujinga.Aliyetuletea lugha ya kiswahili ndiyo alituloga, hii lugha inafanya watu wanakuwa wajinga haswa
Kamanda ndio unajua leo ? All the voodoo things are done in swahiliSo kiswahili is cursed language ?
Ndiyo kimeleta watu wavivu na washirikinaKiswahili ni kibantu.
Inachangia sn🥱🥱 Hv lugha inamfanya mtu kuwa mjinga kweli? Mm nadhani huu ni ujinga mwingine juu ya ujinga.
Kwahiyo wewe unahisi watu wakiongea kingereza au lugha yoyote ambayo sio kiswahili ndo watajitambua??Aliyetuletea lugha ya kiswahili ndiyo alituloga, hii lugha inafanya watu wanakuwa wajinga haswa
Ni kweli ,hawa watoto wanaosoma English Medium ndio watakuja kudefend hii nchi ,sie wa sasa tuwaandalie njia nzuri tiSiku tukiacha kuongea kiswahili ndiyo siku tutapata akili na kujielewa
Hii nchi inawatu wasiojitambua wengi kama nyinyi mnaofikiri lugha inamchango wowote na kujitambua, wote ni wapuuzi na wachovu wa kufikiriaAu Kiswahil ndio mchawi hii lugha ya Pwani hii inatuangusha, ukitema madini kwa kiingereza yanakuwa na nguvu kulko ya kiswahili! Ama ni ujinga tu tuko nayo waTz
Ndio Mkuu🥱🥱 Hv lugha inamfanya mtu kuwa mjinga kweli? Mm nadhani huu ni ujinga mwingine juu ya ujinga.
Sikiliza dada angu, lugha ni kiungo muhimu sn bila mawasiliano hamtoboi, fanya research dada angu ni wapi umewahi kuta wanawake wa kihindi au kichina wamekusanyika mlangoni kusema watu au wanakunywa alkasusi wakafanye mapenzi?Kwahiyo wewe unahisi watu wakiongea kingereza au lugha yoyote ambayo sio kiswahili ndo watajitambua??
Si ajabu na wewe ni miongoni mwa wajinga
TrueNi kweli ,hawa watoto wanaosoma English Medium ndio watakuja kudefend hii nchi ,sie wa sasa tuwaandalie njia nzuri ti
Ukikaa na madogo wa hizo shule wanajua sana haki za Msingi na kuzitetea kwa hojaTrue
Hata ukikaa na mwanao anayesoma pre sijui ni nini anajielewa na siyo muoga wa kuuliza maswali magumuUkikaa na madogo wa hizo shule wanajua sana haki za Msingi na kuzitetea kwa hoja
Jiheshimu basi nani dadaako??, umeshindwa kujitambua halafu unasingizia lugha.Sikiliza dada angu, lugha ni kiungo muhimu sn bila mawasiliano hamtoboi, fanya research dada angu ni wapi umewahi kuta wanawake wa kihindi au kichina wamekusanyika mlangoni kusema watu au wanakunywa alkasusi wakafanye mapenzi?
Gharama za harakati ni nyingi mnoo inabid kujikana nafsi📌📌📌Ukiwa kwetu hapa TZ 🇹🇿 Ukitamka haya maneno unazawadiwa KABURI utatekwa na wasio julikana utaingizwa chupa makalioni ama utafungiwa kwenye chumba na chatu mwenye njaa kali ukajenge nae hoja..
Gharama za harakat ni nyingi mnoo inabidi kujikana nafsi i.e case study zipo nyingi sanaa
R.I.P
Ben saa8
Mbona unakuwa mkali sister angu? tushindane kwa hoja, hao watu watakusanyika vipi kwenye alkasusi kama siyo lugha? umewahi kuwakuta wachina na wahindi kwenye alkasusi?Jiheshimu basi nani dadaako??, umeshindwa kujitambua halafu unasingizia lugha.
Kwahiyo kiswahili ndo kinauza alkasusi ama? Watu wavivu wavivu kama nyie huwa mnatafuta sehemu ya kutupia lawama zenu baada ya matokeo ya ujinga wenu wenyewe, You're uncivilized, immoral and ignorant
Wewe fala jiheshimu basi, unavyoona hilo jina ni la kike ?Mbona unakuwa mkali sister angu? tushindane kwa hoja, hao watu watakusanyika vipi kwenye alkasusi kama siyo lugha? umewahi kuwakuta wachina na wahindi kwenye alkasusi?