Spirit, confidence, elimu, uzalendo, unity - ona kijana mdogo wa Gen Z aliyekamatwa alivyotema madini alivyopandishwa kizimbani

Spirit, confidence, elimu, uzalendo, unity - ona kijana mdogo wa Gen Z aliyekamatwa alivyotema madini alivyopandishwa kizimbani

Dogo kapiga kelele nyingi lkn hakuna hata point moja aliyoongea, jenzii wanaandamana na kuharibu nchi Yao kwa faida ya mahasimu ya Ruto, Hao Hao mahasimu wa Ruto hata wakishika kiti Bado hawatawaletea ugali mezani, jenzii wa kenya ni kizazi cha nyoka kilicholaaniwa na hakina adabu.
Nenda kampokeee zuchu

Ova
 
Kuna jamaa alianzishaga uzi hapa jukwaani akasema ukikoment tu tunajua kama unakuaga wa mwisho au wa kwanza kwanza huko shulen, na kweli bwana tuliwaona wale ndugu zetu walokuwa wanashika mkia , naona maji yameanza kujitenga na mafuta. Mkuu kweli una akili za kuvukia barabara tu lakini kuvuka barabara ya bugurun sheli pale hutoboi mkuu nakuhakikishia
 
Wange mpa bomu avae, asinge likaweza aliisha iva kabisa.
 
Au Kiswahil ndio mchawi hii lugha ya Pwani hii inatuangusha, ukitema madini kwa kiingereza yanakuwa na nguvu kulko ya kiswahili! Ama ni ujinga tu tuko nayo waTz
Hii nchi inawatu wasiojitambua wengi kama nyinyi mnaofikiri lugha inamchango wowote na kujitambua, wote ni wapuuzi na wachovu wa kufikiria
 
Kwahiyo wewe unahisi watu wakiongea kingereza au lugha yoyote ambayo sio kiswahili ndo watajitambua??
Si ajabu na wewe ni miongoni mwa wajinga
Sikiliza dada angu, lugha ni kiungo muhimu sn bila mawasiliano hamtoboi, fanya research dada angu ni wapi umewahi kuta wanawake wa kihindi au kichina wamekusanyika mlangoni kusema watu au wanakunywa alkasusi wakafanye mapenzi?
 
Jiheshimu basi nani dadaako??, umeshindwa kujitambua halafu unasingizia lugha.
Kwahiyo kiswahili ndo kinauza alkasusi ama? Watu wavivu wavivu kama nyie huwa mnatafuta sehemu ya kutupia lawama zenu baada ya matokeo ya ujinga wenu wenyewe, You're uncivilized, immoral and ignorant
 
Ukiwa kwetu hapa TZ 🇹🇿 Ukitamka haya maneno unazawadiwa KABURI utatekwa na wasio julikana utaingizwa chupa makalioni ama utafungiwa kwenye chumba na chatu mwenye njaa kali ukajenge nae hoja..

Gharama za harakat ni nyingi mnoo inabidi kujikana nafsi i.e case study zipo nyingi sanaa

R.I.P
Ben saa8
Gharama za harakati ni nyingi mnoo inabid kujikana nafsi📌📌📌
 
Hii nchi inawatu wavivu wa kufikiria, wachovu na wafu.
Watu wamekaa na vichwa vyao vidogo wanawaza kwamba eti English ndo itafanya watu wastaarabike! Fanya research yako, watoto wengi waliofika ngazi ya chuo kikuu walitoka shule za private na wamesoma kwa mtaala wa kiingereza na hakuna wanachokifanya zaidi ya kuslay. Lugha haina impact yoyote na akili za mtu, nasikitika kuona eti hawa ndo vijana wa hili taifa.
Mmekaa na vichwa vyenu vidogo mnawaza vitu vidogo vidogo tu
 
Jiheshimu basi nani dadaako??, umeshindwa kujitambua halafu unasingizia lugha.
Kwahiyo kiswahili ndo kinauza alkasusi ama? Watu wavivu wavivu kama nyie huwa mnatafuta sehemu ya kutupia lawama zenu baada ya matokeo ya ujinga wenu wenyewe, You're uncivilized, immoral and ignorant
Mbona unakuwa mkali sister angu? tushindane kwa hoja, hao watu watakusanyika vipi kwenye alkasusi kama siyo lugha? umewahi kuwakuta wachina na wahindi kwenye alkasusi?
 
Mbona unakuwa mkali sister angu? tushindane kwa hoja, hao watu watakusanyika vipi kwenye alkasusi kama siyo lugha? umewahi kuwakuta wachina na wahindi kwenye alkasusi?
Wewe fala jiheshimu basi, unavyoona hilo jina ni la kike ?
Umewahi kwenda India ukaona watu hawakusanyiki kuongea Ujinga?? Nchi ambayo sio salama kwa watoto wadogo wa kike? Umewahi kwenda China ukaona watu hawadiscuss upuuzi, tiktokers wa US kila uchwao wanapost vitu vya kijinga na wanaongea English. Sometimes tumia maarifa kufikilia sio unawaza kama mtu aliyekatwa kichwa
I find no point of arguing with an ignorant Muppet like you. Fool!
 
Back
Top Bottom