Kelele za chura hizo.. Gwajima ndio mnyama gani vileMwaka wake huu atajuta
Masihi wa Bwana huwa habishani na kuddhalilishana na wanasiasa kama Yule. Wao huwa kimya na kutoa tamko moja tu.
Pia Mungu anasema nitawalaani watakaokulaani sio nitawalaani utakaowalaani.
Makonda anamatatizo yake asaidiwe ila asihusishwe na huyo jamaa anayejiita mtumishi.
Nimetoa facts za bibilia kuhusu laana. Ulipaswa ujibu hizo na sio usabato wangu au mwelekeo wangu wa Imani.Shida ww umefungwa katika udhehebu ,unafikr usabato ndio dhehebu pekee la kweli hata usiwaamini na wengine
Mchepuko wa mama yako
Kasome upya.Wewe ndio huna hoja,andiko gani la biblia umeweka hapo
hajataja aShida ww umefungwa katika udhehebu ,unafikr usabato ndio dhehebu pekee la kweli hata usiwaamini na wengine
Ameweka andiko japo hajanukuu kitabu husika.Wewe ndio huna hoja,andiko gani la biblia umeweka hapo