Sponsa wa Mradi wa Elimu ya Usalama Barabarani

Sponsa wa Mradi wa Elimu ya Usalama Barabarani

Digital Ticha

Senior Member
Joined
Jun 16, 2023
Posts
110
Reaction score
169
Habari wana jukwaa,

Nimeandaa miradi miwili ya usalama barabarani. Mmoja unahusu bodaboda na mwingine unahusu watoto walio shuleni [shule za msingi]. Inaohusu zaidi elimu ya usalama barabarani na pia ya afya na ujasiriamali kwa bodabodaz.

Natafuta mtu, taasisi au kampuni inayoweza kutusaidia kupata donor wa kusaidia moja kati ya miradi yetu tuliyoiandaa. Nimejaribu kuwatafuta TotalEnergy ila hawajanipa.

Naomba mwenye kufahamu wapi naweza kupata msaada au mwenye wazo lolote la kunijenga nakaribisha.

Natanguliza shukran,

DT
 
Back
Top Bottom