Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Tufikirie nje ya box nipe nikupe ni kamchezo kazuri sana, huyo sponsor wa COP28 ana mambo yake nyeti kwenye nchi mbalimbali hivyo idadi kubwa ya uwakilishi kutoka kwenye baadhi ya Nchi ni kielelezo Cha umuhimu wa nchi hizo katika rasilimali pendwa.
Unapoliwa pakubwa na ushiriki wako wa kindondocha sharti uwe mkubwa kuisambaza motisha kukidhi azma kubwa zaidi.
Tujiandae kuwapokea wajumbe kwa bashasha nasi tupate maokoto.
Kula uliwe machawa wanatukiwa zawadi zao tutulie
Wadiz