Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Unamaanisha nini, au kwa kuwa mwaka huu ni Dubai ndiyo mumeanza na stori zenu? COP meetings zimefanyika katika nchi nyingi na wenzetu wanaona fahari kuweza kusponsa mikutano ya aina hii kwani wengi hawana uwezo. Aidha ni fursa kubwa kwa biashara (hoteli, biashara ya madukani na kadhalika).Tufikirie nje ya box nipe nikupe ni kamchezo kazuri sana, huyo sponsor wa COP28 ana mambo yake nyeti kwenye nchi mbalimbali hivyo idadi kubwa ya uwakilishi kutoka kwenye baadhi ya Nchi ni kielelezo Cha umuhimu wa nchi hizo katika rasilimali pendwa.
Unapoliwa pakubwa na ushiriki wako wa kindondocha sharti uwe mkubwa kuisambaza motisha kukidhi azma kubwa zaidi.
Tujiandae kuwapokea wajumbe kwa bashasha nasi tupate maokoto.
Kula uliwe machawa wanatukiwa zawadi zao tutulie
Wadiz
Na bado mtasema tu kwani wewe ni mbrazil ebu kaa kitakoUnamaanisha nini, au kwa kuwa mwaka huu ni Dubai ndiyo mumeanza na stori zenu? COP meetings zimefanyika katika nchi nyingi na wenzetu wanaona fahari kuweza kusponsa mikutano ya aina hii kwani wengi hawana uwezo. Aidha ni fursa kubwa kwa biashara (hoteli, biashara ya madukani na kadhalika).
Kwanza unaijua maana hiyo COP?
kwani nani alikwambia kuwa nimesimama?Na bado mtasema tu kwani wewe ni mbrazil ebu kaa kitako