Azathioprine
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 589
- 376
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,
Dogo anasema hizo fomu amejaza na criteria ni kwamba uwe na Div 1 a 2 ya A'level. Anasema wanachoambiwa Chuoni wale wote walio na Grant ya Wizara ya Afya ni Kwamba, Hiyo Pesa wao hawatakuja kudaiwa wakimaliza masomo, Hivyo watahitajika kutumikia taifa kwa miaka 5.
Pia wameelezwa na chuo, (KAIRUKI) kwamba Pesa inatoka HESLB as Grant na sio Wizara ya Afya. So kiwango cha Pesa kinachokuja ni Kile kile kama wanachopewa wenye Loans. Tofauti ni kwamba Wao wana Grant na wengine wana Loans! Naomba utupe Uzoefu wako tafadhari, Inawezekana pana wizi unaofanywa hapa kwa wadogo zetu!
Mkuu mimi sio mzoefu sana katika jambo hilo ila tu kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba grant inatoka wizara ya afya,wizara inamalizia pale ambapo loan board imeishia ,kwahiyo fedha ya tution fee iliyobakia inalipwa na wizara,kuhusu kutokudaiwa ni kweli kabisa.
nadhani ipo haja yakufuatilia jambo hilo hata ikiwezekana hadi wizarani ili dogo aweze kusoma.