Sponsorship for university students!!!

Sponsorship for university students!!!

kama dogo ni wa kike jaribu kuapply WAAW FOUNDATION SCHOLARSHIP ila deadline ni tar 30.mpe congra dogo lako
 
Nenda moja kwa moja bodi ya mikopo,waeleze situation ilivyo watakusaidia
 
mwaambie dogo ajaribu kuapply grant wizara ya afya,ila nadhani application lazima zipitie chuoni .
akipata hiyo grant,wizara ya afya itakuwa inamalizia ada iliyobaki sema hatoruhusiwa kufanya kazi nje ya nchi hadi afanye kazi hapa nchini kwa miaka isiyopungua mitano.
 
Godwinnko wizarani ni kitengo gani unaanzia..maana shida hiyo wengi wanayo
 
Last edited by a moderator:
Muulize kama chuoni kwao kuna fomu za application za grants zimeletwa manake mimi ninavyofaham ni kwamba fomu huwa zinagawiwa chuoni
 
Iyo waaw ni kwa wanawake wenye kuchukua fani za science tu

Kwa wanawake wa fani ya social sciences,human resources,na mambo ya finance\banking

Hawana iyo nafasi kwa hii waaw

Ila kwa wanawake wa science kuanzia ngazi ya diploma

Huu ndio uwanja wao,wajitokeze nafasi ndio hii
 
Mkuu,

Dogo anasema hizo fomu amejaza na criteria ni kwamba uwe na Div 1 a 2 ya A'level. Anasema wanachoambiwa Chuoni wale wote walio na Grant ya Wizara ya Afya ni Kwamba, Hiyo Pesa wao hawatakuja kudaiwa wakimaliza masomo, Hivyo watahitajika kutumikia taifa kwa miaka 5.

Pia wameelezwa na chuo, (KAIRUKI) kwamba Pesa inatoka HESLB as Grant na sio Wizara ya Afya. So kiwango cha Pesa kinachokuja ni Kile kile kama wanachopewa wenye Loans. Tofauti ni kwamba Wao wana Grant na wengine wana Loans! Naomba utupe Uzoefu wako tafadhari, Inawezekana pana wizi unaofanywa hapa kwa wadogo zetu!

Mkuu mimi sio mzoefu sana katika jambo hilo ila tu kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba grant inatoka wizara ya afya,wizara inamalizia pale ambapo loan board imeishia ,kwahiyo fedha ya tution fee iliyobakia inalipwa na wizara,kuhusu kutokudaiwa ni kweli kabisa.
nadhani ipo haja yakufuatilia jambo hilo hata ikiwezekana hadi wizarani ili dogo aweze kusoma.
 
Mkuu mimi sio mzoefu sana katika jambo hilo ila tu kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba grant inatoka wizara ya afya,wizara inamalizia pale ambapo loan board imeishia ,kwahiyo fedha ya tution fee iliyobakia inalipwa na wizara,kuhusu kutokudaiwa ni kweli kabisa.
nadhani ipo haja yakufuatilia jambo hilo hata ikiwezekana hadi wizarani ili dogo aweze kusoma.

Shukrani sana Kiongozi,

Nitafanya utafiti zaidi.
 
Back
Top Bottom