Ok poa kama unahitaji kusoma na una nia but pia angalau gpa iwe inasoma kidogo utafanikiwa kupata scholarship kama ukijituma kutafuta, nilipitia same situation kama wewe but nilijituma sana kiukweli kutafuta scholarship na hadi sasa nipo nje nafanya masters yangu, so kwa wewe na kama kuna wengine wanapenda pia kusoma nje naomba mni PM kwa msaada zaidi nitajitahd kuwasaidia zaidi hata mawazo. All the best