Sponsorship in masters of arts in education please.

Sponsorship in masters of arts in education please.

ndesamburo kwek

Senior Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
136
Reaction score
21
I am a teacher by profession teaching in a government school.i wish to go for MA(ed).HOW CAN I GET A SPONSORSHIP?THANKS.
 
Jipange ujisomeshe mwenyewe, I did the same Mpwa... nilitafuta kajishule nikawa nalipwa laki mbili nikaomba nikajishikiza kwa ndugu zangu basi nikapiga shule hivyo hivyo yaani mwanzo mwisho nilikua naandika barua za kuomba kulipa ada nusu...hadi nikamaliza. Ukiamini inawezekana
 
Kama tayari umeshafanya kazi zaidi ya miaka miwili, wizara yako inaweza kukusomesha as far as unafanya kazi serikalini. Ulizia utaratibu, ninawajua watu kadhaa wanaosomeshwa master's degree na wizara ya elimu.
 
Naunga hoja yako.Mi mwenyewe namalizia kwa mwendo huo huo.Akisubiria sponsor atakaa sana.
 
Ni kweli usisubir sponsa nami natarajia kuungaunga masters

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ok poa kama unahitaji kusoma na una nia but pia angalau gpa iwe inasoma kidogo utafanikiwa kupata scholarship kama ukijituma kutafuta, nilipitia same situation kama wewe but nilijituma sana kiukweli kutafuta scholarship na hadi sasa nipo nje nafanya masters yangu, so kwa wewe na kama kuna wengine wanapenda pia kusoma nje naomba mni PM kwa msaada zaidi nitajitahd kuwasaidia zaidi hata mawazo. All the best
 
jaribu kutuma maombi ya sponsorship ubalozi wa Belgium huwa wanatoa.
 
Back
Top Bottom