Sponsorship nje ya nchi

Sponsorship nje ya nchi

Reene

Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
30
Reaction score
13
Habari wana jamii, hopefully ni wazima, mgonjwa Mungu akuponye haraka, mi mgeni humu ni budi kusema hodi, nauliza km kuna anayefahamu mtu binafsi au taasisi inayotoa ufadhili wa masomo nje ya nchi, nimepata chuo nje ya nchi kusoma masters but sina mfadhili wa kuniwezesha, naomba mnisaidie link za hawa wtu, asnteni!
 
Back
Top Bottom