M massoudamour Member Joined Aug 13, 2014 Posts 17 Reaction score 1 Aug 25, 2014 #1 kwa ambao wanaomba diploma sponsor unaomba au unapata tu ukishachaguliwa
S slmmfm JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 304 Reaction score 65 Aug 25, 2014 #2 Jukumu lako kuomba
Jayonepey JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 320 Reaction score 151 Aug 25, 2014 #3 Ingia kwenye website ya bodi ya mkopo wametoa maelezo kuhusu hilo Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Ingia kwenye website ya bodi ya mkopo wametoa maelezo kuhusu hilo Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
M massoudamour Member Joined Aug 13, 2014 Posts 17 Reaction score 1 Aug 26, 2014 Thread starter #4 unaomba vp? naomba msaada
M massoudamour Member Joined Aug 13, 2014 Posts 17 Reaction score 1 Aug 26, 2014 Thread starter #5 Jayonepey said: Ingia kwenye website ya bodi ya mkopo wametoa maelezo kuhusu hilo Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums Click to expand... "unaombaje ,nimeona sponsor za degree, na uombaji wa mikopo na sio sponsor"
Jayonepey said: Ingia kwenye website ya bodi ya mkopo wametoa maelezo kuhusu hilo Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums Click to expand... "unaombaje ,nimeona sponsor za degree, na uombaji wa mikopo na sio sponsor"
M massoudamour Member Joined Aug 13, 2014 Posts 17 Reaction score 1 Aug 26, 2014 Thread starter #6 Nime tafsirika vibaya nilikuwa namaanisha kwamba umeshachaguliwa kusoma diploma kwa kuomba kupitia NACTE je hizo sponsor unazipataje? au inategemea na bahati
Nime tafsirika vibaya nilikuwa namaanisha kwamba umeshachaguliwa kusoma diploma kwa kuomba kupitia NACTE je hizo sponsor unazipataje? au inategemea na bahati