Sponsorship ya Diploma ( ufadhili) unapatikanaje ?

Sponsorship ya Diploma ( ufadhili) unapatikanaje ?

Ingia kwenye website ya bodi ya mkopo wametoa maelezo kuhusu hilo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nime tafsirika vibaya nilikuwa namaanisha kwamba umeshachaguliwa kusoma diploma kwa kuomba kupitia NACTE je hizo sponsor unazipataje? au inategemea na bahati
 
Back
Top Bottom