SPONSORSHIP...zinapatikanaje.? ?

SPONSORSHIP...zinapatikanaje.? ?

galaxy 14

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
27
Reaction score
7
Habari..napenda kuuliza..hapa tanzania kuna makampunI yanayotoa sponsorship..
As wanakusomesha humu humu ndani ya nchi...si lazma uende nje ya nchi..lets say mtu hajapata mkopo wa bodi..ila chuo kapata.?, je hayo mashirika yapo
 
Ndio kwa mfano AIRTEL inasomesha wale wanafunzi waliopafomu vizuri fom 6. Kuna kampuni la oil /gas litawazamini wanafunz kumi watakaochukua geology. Etc makapun ya sponsor ni meng ila ndugu hakikisha una div 1 kali. Mi nilisomeshwa Msc.engineering na sponsor kwa kuomba mana nilikuwa na gpa ya bsc. Nzuri
 
Back
Top Bottom