yule edgar kibwana anajua sana, ndie anayeibeba clouds kwa sasa ktk habari za michezo, waliobaki ni wapiga domo tuu
Kwani huwa ni shabiki wa timu gani? MkuuEdger hana lolote! Anaongea kinazi hadi kila mtu anajua ni shabiki wa timu gani
Huwa namuelewa sana huyu dogoYule Edgar Kibwana anajua sana, ndie anayeibeba clouds kwa sasa ktk habari za michezo, waliobaki ni wapiga domo tuu
Yule Edgar Kibwana anajua sana, ndie anayeibeba clouds kwa sasa ktk habari za michezo, waliobaki ni wapiga domo tuu
Kwani lengo la Azam Sports@8 ni kuishusha Sports Bar ya Clouds..?Kwa upande wangu licha ya Azam Tv kuwa watu wazur katika uchambuz katika kipindichao cha michezo (Sport@8) kama Jeff, Edo Kumwembe, Kitambi etc lakin naona bado hawajafanikiwa kuishusha Sports Bar ya Clouds Tv yenye watu kama Dauda, Alex Mwambano na Edgar kibwana ambao huwa wanazama in deep zaid katika kufuatilia mambo ya kimichezo kiundani zaid.
Nawapongeza Sport Extra kwa kazi mzr sana, labda wadau wenzangu munasemaje wapenda michezo?