Sport@8 (Azam Tv) V/S Sport Extra (Clouds Tv)

Sport@8 (Azam Tv) V/S Sport Extra (Clouds Tv)

Dupe

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
1,668
Reaction score
811
Kwa upande wangu licha ya Azam Tv kuwa watu wazur katika uchambuz katika kipindichao cha michezo (Sport@8) kama Jeff, Edo Kumwembe, Kitambi etc lakin naona bado hawajafanikiwa kuishusha Sports Bar ya Clouds Tv yenye watu kama Dauda, Alex Mwambano na Edgar kibwana ambao huwa wanazama in deep zaid katika kufuatilia mambo ya kimichezo kiundani zaid.

Nawapongeza Sport Extra kwa kazi mzr sana, labda wadau wenzangu munasemaje wapenda michezo?
 
Edger hana lolote! Anaongea kinazi hadi kila mtu anajua ni shabiki wa timu gani
 
Yule Edgar Kibwana anajua sana, ndie anayeibeba clouds kwa sasa ktk habari za michezo, waliobaki ni wapiga domo tuu

yupo issa maeda anapenda majungu hyo!! utaskia

"kwa habari nilizozipata chini ya kapeti inasemekana haji manara hapatani na baadhi ya viongozi wa simba"

au atasema

"kwa habari zilizopo mkwasa anamuingilia kocha kwenye kupanga kikosi"

yaan hyu jamaa habari hta iwe ya positive vipi lazima atafute u negative ili roho yake iridhike
 
Kwa upande wangu licha ya Azam Tv kuwa watu wazur katika uchambuz katika kipindichao cha michezo (Sport@8) kama Jeff, Edo Kumwembe, Kitambi etc lakin naona bado hawajafanikiwa kuishusha Sports Bar ya Clouds Tv yenye watu kama Dauda, Alex Mwambano na Edgar kibwana ambao huwa wanazama in deep zaid katika kufuatilia mambo ya kimichezo kiundani zaid.

Nawapongeza Sport Extra kwa kazi mzr sana, labda wadau wenzangu munasemaje wapenda michezo?
Kwani lengo la Azam Sports@8 ni kuishusha Sports Bar ya Clouds..?
 
Back
Top Bottom