Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,550 Reaction score 39,949 Sep 4, 2023 #1 Kiukweli ana uwasilishaji mbovu mno. Anarudia rudia kitu kimoja hata mara tano. Halafu na wao huwa sioni uhimu wa yeye kutoa taarifa tena maana ni kama tu anarudia kile ambacho wakina Lwambano wameshareport.
Kiukweli ana uwasilishaji mbovu mno. Anarudia rudia kitu kimoja hata mara tano. Halafu na wao huwa sioni uhimu wa yeye kutoa taarifa tena maana ni kama tu anarudia kile ambacho wakina Lwambano wameshareport.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Sep 4, 2023 #2 Ni wivu TU