SportPesa and Betin Kenya shut down operations, Betin sends all staff home

Ni strategy tu ya GOK ku discourage betting, wabunge wao walipiga kelele sana ifutwe, kufukuza mtu sio lazima umwambie toka unaweza mwekea conditions ngumu kumeza akajiongeza mwenyewe.
 
Kampuni hizo zinazoendesha michezo ya kubashiri zimesimamisha shughuli zake Nchini humo katika uamuzi unaoonekana ni wa mwisho kufuatia mvutano wa muda mrefu kuhusu ushuru na sheria zinazodaiwa kuwa ngumu dhidi yao zilizowekwa na Serikali

Betin imetuma ujumbe kwa Wafanyakazi wake ikiwaondoa kazini kwa kudai ni kutokana na masula ya kifedha ambapo imedai Utawala unahitaji kufukiria upya namna ya kuendesha shughuli zake

Aidha, Betin imedai kuwa ilijaribu kutafuta namna mbadala ya kuendesha shughuli zake kati ya Mwezi Julai na Septemba mwaka huu lakini ilishindikana na kugundua kifedha ni ngumu kuhudumia Wafanyakazi wote

SportPesa yenyewe imeonesha kusikitishwa na hatua ya Serikali kuweka ushuru wa aslimia 20 kwenye kila bashiri inayowekwa na kushinda na kueleza kuwa hatua hiyo itawafanya Watu wasibashiri kwani makato ni makubwa

Hata hivyo, hatua hii inakuja mwezi mmoja baada ya Kampuni hizo kuruhusiwa na Mamlaka ya Mapato (KRA) kuomba leseni mpya ya kufanya shughuli zao baada ya Serikali kuziambia Kampuni za simu kuzuia namba za malipo za Kampuni zote za kubashiri

SportPesa na Betin ni miongoni mwa Kampuni 27 ambazo leseni zao zilifutwa na Wakurugenzi wao kutakiwa kuondoka baada ya kushindwa kuthibitishwa ni kwa namna gani walikuwa walikipa kodi kama ilivyotakiwa na Bodi ya michezo ya Kubahatisha
*******

> According to Betin, attempts to find an alternative between July and September this year have been futile making it financially impossible to maintain the workforce.

> The firms are said to have failed to prove that they were tax compliant as required by the Betting Control and Licensing Board (BCLB).

Betting firms SportPesa and Betin have halted their operations in Kenya marking what could be the final straw in their long-drawn taxation and regulatory tussle with the Kenyan Government

Kenya's largest sports gaming firm, SportPesa, has announced a move to halt its operations in Kenya.

The firm said it would resume operations when Kenya puts in place "adequate taxation and non-hostile regulatory environment."

The announcement just comes hours after the second-largest firm, Betin, announced that it was declaring its staff redundant.

The move comes after the government's decision to impose a 20 per cent tax on all betting stakes, a move that the firms have cited as damaging on both their customers and treasury.

"Sportpesa is disappointed with the decision by the Kenyan legislature to impose a 20% excise tax on all betting stakes. The tax is based on a fundamental misunderstanding by the Rotich led treasury of how revenue generation works in the bookmaker industry," read the statement in part.

It added; "Until such time that adequate taxation and non-hostile regulatory environment is returned, the SportPesa brand will halt operations in Kenya."

The firm said compounded by the currently in-effect 20 per cent Withholding Tax on Winnings, the economic incentive to place bets will be completely removed as the taxes will deprive consumers of their total winnings.

"This will have severe consequences for licensed betting companies, which dutifully pay their taxes and ultimately will lead to a decline in government tax revenue to near zero and will halt all investments in sports in Kenya," the firm said.

Betin, which operates as Gamcode Limited, told staff on Friday that the firm had been left with no option but to let them go.

"This has been occasioned by the fact that we have not been operational since July 2019 a fact we are all aware of. Management has had several extensive meeting with relevant government entities regarding the company's license renewal without much success," the memo dated September 27 stated.

The two firms were among a number of betting firms whose licenses were revoked by the government over a taxation row that found its way to the corridors of justice.

It is not clear how many staff members are affected by the move by Betin but it is expected to affect about 2,500 including those at Betin Shops scattered in various locations.
AWA JAMAAA SHIDA SIOO 20%
NIMEFWATILIA SANA KESI ZAO SHIDA KUNA MATRA YAKENYA YALIKUWA YAKIPIGA DILI SO WANACHEZESHA DOCS JAMAA WANALIPA PUNGUFU

WALIPOSHTUKA GOV WAKAWASIMAMISHA BAADHI..WATATU WAKAHAIDIWA POST NZURI ASIKWAMBIE MTU WAKACHOMAA BETRI NZIMA

SO MAZUNGUMZO YOOTE YALIOONDELEA JAMAA WAKAOMBWA WAONYESHE DETAILS WANAVYOLIPA NA KWAKUWA WALIJUA JAMAA WALIOBAKI WAMECHOMOA BETRI IKAWA N BALAA WAKAKOMAA ..
TANZANIA. TUNA MIAKA MINGAP NA MAKAMPUNI MENGI YANALIPA 20%

HATA MAGUFULI AANZE KUFWATILIA KODI ZA BETTING ZINAVYOLIPWA WANAINGIXA PESA NDEFU SANAI
 
Kenya serikali inajali raia wake. Inajua athari za kamari na ndio maana inaweka sheria ngumu. Waje huku shamba la bibi, kila mtaa kuna mashine za kamari.
Somaa makaratasiiiyale 20% wanalipaaa usiwaone wajinga ama mafalaa wanachangia pesandefuu wale KWENYE Barbara za UBUNGO MBEZI kibaha ujenzi unaoondeleaa ooh
 
Waliopo ughaibuni sidhani kama issue ya kulipa kodi inasumbua kwao, maana pango - kodi, ajira - kodi, every thing - kodi na ni kwa asilimia zake, sasa sijui kwa nini kodi inaonyesha ni kero kulipa hasa hao mabeberu wakiwa hapa afrika?
 
Hawa watu hawataki iguswe faida yao. Kidogo tu utasikia mazingira ya uwekezaji siyo rafiki
 
kabla hawajafunga hakuna kweli wadau ambao walikuwa washapita na jackpot?
 
WAENDEEEEPAKASHUMEE HAOOO
1*BET NAOO WALITAKA KUWAWAJANJAJANJA WAKAPIGWA MIMBA KUTUMIA MITANDAO YA SIMU YATANZANIA
AWATAKI KULIPAKODI WALAKUWEKA OFISI TANZANIA LOH

WWAENDEE TU
 
Hizi kampuni za betting zinaingiza pesa nyingi sana, ila walalmishi sana kwenye kulipa kodi stahiki...

Cc: mahondaw
 
Kampuni hizo zinazoendesha michezo ya kubashiri zimesimamisha shughuli zake Nchini humo katika uamuzi unaoonekana ni wa mwisho kufuatia mvutano wa muda mrefu kuhusu ushuru na sheria zinazodaiwa kuwa ngumu dhidi yao zilizowekwa na Serikali

Betin imetuma ujumbe kwa Wafanyakazi wake ikiwaondoa kazini kwa kudai ni kutokana na masula ya kifedha ambapo imedai Utawala unahitaji kufukiria upya namna ya kuendesha shughuli zake

Aidha, Betin imedai kuwa ilijaribu kutafuta namna mbadala ya kuendesha shughuli zake kati ya Mwezi Julai na Septemba mwaka huu lakini ilishindikana na kugundua kifedha ni ngumu kuhudumia Wafanyakazi wote

SportPesa yenyewe imeonesha kusikitishwa na hatua ya Serikali kuweka ushuru wa aslimia 20 kwenye kila bashiri inayowekwa na kushinda na kueleza kuwa hatua hiyo itawafanya Watu wasibashiri kwani makato ni makubwa

Hata hivyo, hatua hii inakuja mwezi mmoja baada ya Kampuni hizo kuruhusiwa na Mamlaka ya Mapato (KRA) kuomba leseni mpya ya kufanya shughuli zao baada ya Serikali kuziambia Kampuni za simu kuzuia namba za malipo za Kampuni zote za kubashiri

SportPesa na Betin ni miongoni mwa Kampuni 27 ambazo leseni zao zilifutwa na Wakurugenzi wao kutakiwa kuondoka baada ya kushindwa kuthibitishwa ni kwa namna gani walikuwa walikipa kodi kama ilivyotakiwa na Bodi ya michezo ya Kubahatisha
*******

> According to Betin, attempts to find an alternative between July and September this year have been futile making it financially impossible to maintain the workforce.

> The firms are said to have failed to prove that they were tax compliant as required by the Betting Control and Licensing Board (BCLB).

Betting firms SportPesa and Betin have halted their operations in Kenya marking what could be the final straw in their long-drawn taxation and regulatory tussle with the Kenyan Government

Kenya's largest sports gaming firm, SportPesa, has announced a move to halt its operations in Kenya.

The firm said it would resume operations when Kenya puts in place "adequate taxation and non-hostile regulatory environment."

The announcement just comes hours after the second-largest firm, Betin, announced that it was declaring its staff redundant.

The move comes after the government's decision to impose a 20 per cent tax on all betting stakes, a move that the firms have cited as damaging on both their customers and treasury.

"Sportpesa is disappointed with the decision by the Kenyan legislature to impose a 20% excise tax on all betting stakes. The tax is based on a fundamental misunderstanding by the Rotich led treasury of how revenue generation works in the bookmaker industry," read the statement in part.

It added; "Until such time that adequate taxation and non-hostile regulatory environment is returned, the SportPesa brand will halt operations in Kenya."

The firm said compounded by the currently in-effect 20 per cent Withholding Tax on Winnings, the economic incentive to place bets will be completely removed as the taxes will deprive consumers of their total winnings.

"This will have severe consequences for licensed betting companies, which dutifully pay their taxes and ultimately will lead to a decline in government tax revenue to near zero and will halt all investments in sports in Kenya," the firm said.

Betin, which operates as Gamcode Limited, told staff on Friday that the firm had been left with no option but to let them go.

"This has been occasioned by the fact that we have not been operational since July 2019 a fact we are all aware of. Management has had several extensive meeting with relevant government entities regarding the company's license renewal without much success," the memo dated September 27 stated.

The two firms were among a number of betting firms whose licenses were revoked by the government over a taxation row that found its way to the corridors of justice.

It is not clear how many staff members are affected by the move by Betin but it is expected to affect about 2,500 including those at Betin Shops scattered in various locations.
Huku kwetu biashara ya Mikopo sisi wa mtaani kodi yake ni 20% yani riba ndio inatozwa hivyo iyo ni kawaida
 
Ingefungwa na Tanzania maana hawa jamaa wanakula hela za watanzania wanapeleka nje, kitu nimejifunza kwenye michezo ya betting ni kua anayeshinda ni muendesha mchezo, wachezaji wote hua wanashindwa, ukishinda leo 10mil unaichezea yote ukihisi utapata 100mil unaishia kuipoteza yote alafu unarudi tena, hela yote hiyo wanabeba wanapeleka nchini kwao tu. Michezo yote ya kubet nchini ifungwe kama sio owned na watanzania
 
😀 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom