Kipusa unaandika maji.Unazungumzia historia. Mwaka 2019 bikira imetoka anajilia tu.
Kocha anaweweseka mabondia wamekuwa watamu
Yondani anatema mate ovyo.Mimba changa hiyo chezea STENDI .
Unaota wewe labda timu yenu ya wanawake ndio unayeiota.Kumbe mliwahi kupigwa 8 bila na enyimba, kumbe kitamboo mlianza kuliabishaa taifa, nyamvaf kabisaa,
Hiyo mechi ilichezewa wapi na lini.Mwezini?